Maswali kuhusu simu na kompyuta

Maswali kuhusu simu na kompyuta

Nikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu....na ushauri wa app muhimu kuwa nazo kwenye simu.......je simu yako ina nafasi ndogo? Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele? ...
NAKARIBISHA MASWALI........
Laptop haitoi mwanga.ni HP nikiiwasha naona tu ile logo ya Hp then mwanga unazimika lakini laptop inakua imewaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yote weka hapa kaka wengi tujifunze, huko PM si kuzuri.
mkuu pm hakuna maelezo ni kwamba wale wa pm wameoma program za kompyuta....vipi kazi kule umeacha?
 
Nikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu....na ushauri wa app muhimu kuwa nazo kwenye simu.......je simu yako ina nafasi ndogo? Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele? ...
NAKARIBISHA MASWALI........
Vizuri sana.
Naomba unisaidie kwa hili...
Natumia galax s6 flat (sio edge), nimeinunua ikiwa ina run android version 6 (mashmallow), ikiwa na uwezo wa 4G. kutokana na simu hizi kufungiwa auto system software upadate, nikaamua kupandisha android version kutoka 6 hadi 7 kwanjia ya computer kwa kutukia odin3.
Nili fanikiwa kupandisha version lakini 4G network haipandi ina pandisha 3G only.
Kabla ya kubadilisha system software simu olakuwa na uwezo wa 4G, but now haina tena 4G.
Niambie nifanye nini ili nipate 4G ikiwa ina run android 7
 
File ulidownload kutoka website gani ?

Mkuu Nina simu yenye uwezo WA 4g na pia ninatumia laini ya tigo yenye uwezo WA 4g ila tatizo linakuja hivi ..nikiwa dar ...morogoro..Dodoma 4g inashika vizuri ila nikiwa baadhi ya mikoa mingine mfano geita ambapo tigo 4g IPO then simu yangu haipabdishi 4g kabisa hapa tatizo nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu....na ushauri wa app muhimu kuwa nazo kwenye simu.......je simu yako ina nafasi ndogo? Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele? ...
NAKARIBISHA MASWALI........
Naomba kuuliza nilisikia kuna app inayokuwezesha kurudisha taarifa/information/files muhimu zilizopotea,ni kweli? km ipo inaitwaje?
 
Back
Top Bottom