Recent content by mbukwa team

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Zilipendwa, mikingamo, majira, mahoka, kipindi cha shule, kipindi cha wagonjwa kila jumapili, watangazaji enock ngombale, tido mhando, masudi, Charles Hillary, Edda sanga, na wengi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nchi 15 hatari zaidi kuishi duniani

    Kiini macho eti nchi kama Belgium, France, USA, turkey, Israel, England, Indonesia, India, Korea, Venezuela, Haiti zipo kibao waache kutuaminisha kuwa walizotaja ni hizo tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    Wa kukiendeleza ni wana wa Tanzania tu na si dunia, lakini kiswahili kimeongezwa kwenye lugha za kutumia kwenye vikao vya AU
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    Miaka zaidi ya takribani Miaka 500 imepita, kiswahili kina nguvu kubwa na ni kiunganishi kikubwa kwa watanzania, kingereza mmmhh!!! Sina hakika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tukio katika Picha; Jionee Mawaziri wa Sudan Kusini wanavyovyaa

    Inanikumbusha wabunge wa komoro
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aina za vitambi

    Eeeeeeeeeee hapa kazi tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujalalamika uliza kwanza!

    Feni kwenye banda la kuku
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

    Tunachojali ni kazi yake mavazi baadae
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli asifiwa kwa kupambana na rushwa

    Kila la heri =jpm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini tunazaa sana watoto wa kike kuliko wa kiume

    Hawa wanatuchanganya, ukisikia mfumo duni ndo huo, hata mtoto wa kike lazima uwe smart
  11. M

    JamiiForums Tanzania ISIS De-Facto Capital Raqqa on Verge of Collapse by Syrian Army

    Hata iweje ISIS Warfield imewashinda huku Warusi na huku USA achilia mbali Kurdistan ambao wamepata sifa ya kuwasambatalishha wauaji Hao kila eneo la vita, big up wapiganaji mahiri
  12. M

    JamiiForums Tanzania Donald Trump achukuliwa kuwa miongoni mwa hatari 10 duniani

    Njia anayopita trump, historia inatukumbusha as wa ujerumani ya Hitler
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Watoto wawili wakutwa wameuawa kikatili

    Walaze mahala pema peponi. Viumbe Hawa hawana hatia kabisa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona tofauti ya Kikwete na Magufuli

    Kila kilicho cha kibjnadamu kina sifa Zake , jiulize wewe unajilinganisha na Nani wa Kiwango Chako? Magufuli atabaki na yake na kikwete alifanya yake
Back
Top Bottom