Uhembe Member Mar 10, 2012 97 36 Jun 18, 2016 #2 Hilo ni kweli mkuu. Inazingua sana. Wakaombe msaada PPF, maana haina longo longo
Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,655 Jun 18, 2016 #3 Hivi pspf wanaweza nikopesha mwanachama wao nikiomba mkopo
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 35,941 40,778 Jun 19, 2016 #5 Hizi management zingine siku hizi zimefilisika uwajibikaaji kama ilivyofilisika mifuko yenyewe