Nchi 15 hatari zaidi kuishi duniani

Nchi 15 hatari zaidi kuishi duniani

Zimepangwa kwa kuanza na iliyo hatari zaidi au...
 
Burundi inako
Kwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
  • 15. Nigeria
  • 14. North Korea
  • 13. Russia
  • 12. Democratic Republic of the Congo
  • 11. Pakistan
  • 10. Libya
  • 9. Sudan
  • 8. Ukraine
  • 7. Central African Republic
  • 6. Yemen
  • 5. Somalia
  • 4. Afghanistan
  • 3. Iraq
  • 2. South Sudan
  • 1. Syria
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?[/QUOTE

Burundi inakosekana vp hapo...!
 
1.Israeli
Israel,Palestine, Burundi, Central Africa Republic. Zilitakiwa ziwepo kwenye orodha hiyo ila Russia haikustahili kuwepo.

Hii orodha ina biased na imejaa propaganda mfano USA hakuna usalama kwa kuwa wameshindwa kudhibiti matumizi ya bunduki. Kila wakati utasikia watu wamefyatuliwa Risasi na kupoteza Maisha ila hawakuwekwa kwenye orodha.
 
Namba 12 naikubali kwa kuwa niliwahi kuwa na safari pande hizo but nilionywa...
 
haya sema wewe katika hiyo orodha tutoe nchi gani ili tuingize TANZANIA
Hata Syria wenyewe hawatukutii kwa ukatili na unyanyasaji, wametudhulumishia nafasi yetu ya kwanza tulistahili tuwe sisi hapo. hawa wazungu wanatuonea wivu hadi nao wanaanza visa kuuana mfano USA & UK ili waingie kwenye orodha
 
Baragash heshima yako mkuu..
Naomba niseme hivi, mara moja moja tunatakiwa tuuutazame ukweli jinsi ulivyo, sio kila kinachifanywa na nchi za magharibi ni propaganda.. Kuna nchi gani hapo iliyoonewa kuwa kwenye list??

Nashangaa tu nchi kama Burundi, Iraq, Afghanstan na Mexico zimekosaje kuwa kwenye hiyo list
Basi kaa ukijua hata wewe Mtanzania na umasikini wako,basi ni MAGHARIBI ndio wanaosababisha hayo.
 
Kiini macho eti nchi kama Belgium, France, USA, turkey, Israel, England, Indonesia, India, Korea, Venezuela, Haiti zipo kibao waache kutuaminisha kuwa walizotaja ni hizo tu
 
Kwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
  • 15. Nigeria
  • 14. North Korea
  • 13. Russia
  • 12. Democratic Republic of the Congo
  • 11. Pakistan
  • 10. Libya
  • 9. Sudan
  • 8. Ukraine
  • 7. Central African Republic
  • 6. Yemen
  • 5. Somalia
  • 4. Afghanistan
  • 3. Iraq
  • 2. South Sudan
  • 1. Syria
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?

Hapo kwa Russia ni uongo...Marekani ni zaidi ya Russia, unapigwa risasi mchana kweupe...hujasikia wale mashoga 50 waliokula risasi kwenye klabu moja?....Dogo mmoja wa miaka 17 amechomwa kisu mpaka kufa na ombaomba kwa kumpa pesa ndogo, alimpa pesa dola 2 na ombaomba akaona ni dharau...weusi nao wanauawa hovyo huko Marekani...
 
Back
Top Bottom