Recent content by mbujike

  1. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nawashauri vodacom, kwa sisi wamiliki wa mpesa, muwe mnatutumia kamisheni zetu kwenye laini ile ile ya kazi, kama tigo pesa wanavyofanya, inakuwa usumbufu kamisheni inaingia kwenye laini ya management halafu ndo uhamishe, bado sijaona mantiki yake, kama ni kuogopa kuibiwa na mfanyakazi basi...
  2. M

    Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    Amewawekea link ya you tube mwanzoni kabisa, kwanini usibofye pale na uione trailer yake?
  3. M

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Ingekuwa kuna mkutano wa ccm hapo wangerusha live kuanzia saa tano asubuhi kuwavutia watu waende uwanjani, ila kuhusu mpira au chama pinzani kina mkutano wa hadhara sahau.
  4. M

    Kenya yaomba msaada wa chakula tani 200,000 za mahindi kutoka Tanzania

    Na bado wataomba vingi tu kutoka Tanzania, sisi ndo giant kwa East Afrika kwa kila kitu, walituuo Ba jet fuel tuliwapa, na wala hawakuomba rwanda wala uganda sababu wote hawachekani, wametuomba chakula tunawapa tena, na bado siku si nyingi watatuomba wanaume wakitanzania tukawaolee dada zao...
  5. M

    Halmashauri kuanza kuajiri

    Watakuwa wanaajiri ila ni kwa zile nafasi za chini chini tu,
  6. M

    Dereva anapatikana

    Tempo yenyewe si ndo kama hiyo ndugu yangu, maana unashauriwa siku hz tumia ulichonacho kwanza, na fanya kile ambacho unaweza kukifanya kwanza, maana hao wakubwa wetu wenye profesional ajira pia hawana, sisi itakuwaje? Hata tempo pia kama nitapata nitashukuru zaidi, tatizo nitapata wapi? Nikaona...
  7. M

    Dereva anapatikana

    Ni kweli kaka, inatubidi tukubaliane na hali ya maisha hatuna ujanja, tufanye ya tu ambayo mabosi wengi wanayapenda ya kuwatafutia michepuko, nafs haipendi hata kidogo watu wanafanyia njaa tu.
  8. M

    Dereva anapatikana

    Nimekuelewa mkuu, nipo dar es salaam, leseni clas A,B,D, elimu yangu form six
  9. M

    Dereva anapatikana

    Habari wana JF, kwa anayehitaji dereva awe ni mtu binafsi, na yasiwe magari ya biashara, anapatikana muda wowote, kwa namba 0789575784,
  10. M

    Dereva anapatikana

    Habari wana jf, kwa anayehitaji dereva awe ni mtu binafsi, na yasiwe magari ya biashara, anapatikana muda wowote, kwa namba 0789575784,
  11. M

    Fursa kwa graduates na wasio na Ajira East and Central Africa

    Mi nipo tayari mkuu, na vifaa vyote ninavyo, ngoja nikutumie kwa email yako nikupe gharama zangu
  12. M

    Interview tarehe 18

    Tayari majina yote yamewekwa kwa watu waliofuzu wajiandae na oral, ingieni kwenye website ya ajira mtayaona muda huu
  13. M

    Tunataraji CCM itengeneze ajira au itengeneze Bomu? Jionee haya!

    Halafu kijana msomi, unaanza tu kuishabikia ccm chama tawala kwa janga kama hili, hv mtu kama huyo ndo graduate ana akili kweli? Au ndo elimu yake haijamsaidia kitu? Msomi usiyependa changes? Msomi hata usiyehoji kuwa kwa tatizo kama hilo watu hawana ajira na bado vyuo mwaka huu vinatema...
  14. M

    Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

    Tanzania postal bank washenz wale, wewe freelnacer ulipwe laki na arobaini? Hapo nauli kwako, pesa ya chakula kwako, na hujui utawapata wapi hao wateja, inakulazimu utembee jiji lote ili utambue maeneo potential, unaishia kumaliza bure sori ya kiatu, na utaanza kuwekeana chuki ndugu jamaa na...
  15. M

    Aisee Wahaya kiboko, soma wasifu wa marehemu mtoto wa Salva Rweyemamu

    Ila jamani hata mimi najiuliza hii nchi ni ya wachache wenye pesa? Nilienda kuuliza pale makao makuu ya jeshi ngome - upanga, wakasema mara ya mwisho TPDF kuajiri watu wenye degree ni 2010 sasa marehemu mungu aiweke roho yake mahali pema, yeye aliajiriwa 2011, hizo ajira zilitangazwa lini?
Back
Top Bottom