Recent content by MBUGUNI84

  1. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina tecno C8 inahitaji 150000 bado ipo kwenye hali nzuri 0712 166460
  2. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina tecno C8 inahitaji 150000 bado ipo kwenye hali nzuri 0712166460
  3. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Hawa wasanii wa bongo movie ni wapumbavu wajitathimini kwanza wapi wanakosea wao wanajihusha na siasa ck hizi wakati hawajui wanunuaji wa kazi zao ni waumini wa vyama tofauti sasa inapotekea yy yupo upande wa pili wanasusa kununua kazi zao
  4. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Hemed Kivuyo wa ITV acha ushamba

    Kama anakukela si uangalie tbc ccm yenu
  5. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Kinana aonekana akila bata coventry,UK!

    Hata ukonga pia ni UK[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  6. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Waliomwombea dua RC Makonda mbona hawakemei maovu yake?

    Hapa ndio tunawaona kumbe viongozi wengi wa dini ni wanafiki sana nchi hii haswa yule anaejiita shekhe wa dar njaa ndio inamsumbua
  7. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Mhe. Freeman Mbowe awasili Songwe kwenye Ziara yakikazi

    Kuimarisha chama ni kitu cha muhimu sana kwa kipindi hiki ingawa mikutano ya hadhara imezuiliwa
  8. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Hapa hofu tu
  9. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

    Hoja nzuri na yenye mashiko
  10. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa namna Lowassa atakavyoinufaisha UKAWA

    Kweli haijalishi ukawa watamsimamisha nani tunachotaka ni Ccm ingolewe madarakani.
  11. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania CCM Wapiga Mkwara Television Kuruka Live

    Da kweli kabisa mpaka saa hii kimya kabisa
  12. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Ahsanteni wana sumbawanga
  13. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Nakumbuka kipindi cha uchaguzi kilichopita baada ya jk kuona waislam walipotoa msimamo wa kutoipigia kura ccm jk akiwa kama mgombea wa uraisi aliahidi kama mtaipigia kura ccm basi nitahakikisha mahakama ya kadhi inapatikana. Baada ya kuingia madarakani jk huyohuyo akasema swala la mahakama ya...
  14. MBUGUNI84

    JamiiForums Tanzania Chenge ajiuzulu nafasi ya uwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti

    Analinda heshima yake ya vijicent vya wizi
Back
Top Bottom