Recent content by Mbuguni TPC

  1. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Madereva hapa ku overtake ni salama?

    Mstari umekukataza kuovertake ila kama una hela za kugawa kwa trafiki overtake ila uwe mwangalifu
  2. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

    weka video akisukumwa mahakamani
  3. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

    Uzi tayari
  4. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mji ulioshindikana kwa watu kula 'bata' hapa Tanzania

    Nilikuwa nakutafuta sana.................................
  5. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Wewe ungekua vizuri kimaisha ungekuwa unatukana tukana watu ovyo kwenye simu zao. Mzee wa ovyo kabisa huna lolote wewe unafikiri kuwa maarufu hapa mtandaoni kila unachoshauri na kuongea ni lazima watu wakifuate umekuwa nani wewe? Kafie mbele huko.
  6. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

    Gambo vs Makonda
  7. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

    Hongera kwa kufikia Enlightment
  8. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Hivi kampuni kongwe inayomilikiwa na Mtanzania (mweusi) ni ipi? Ina miaka mingapi?

    Super Star 90's na Kilimanjaro Express 70's
  9. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

    mtumishi wa mungu asiyemjua Mungu
  10. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

    Eti mtumishi wa Mungu asiyemjua Mungu
  11. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Je Mizimu ipo au ni maneno ya Watu

    Hana cha utumishi wala nini huyo ni njaa tu inamsumbua, roho mbaya imemjaa kupitiliza na bado eti analeta na vifungu vya biblia pumbavu. Kuna watu hawakupaswa kuwa na elimu kwasababu wanaitumia elimu waliyoipata kupotosha jamii inayowazunguka na mfano ni huyu jamaa mwenye bandiko lake hapa. Kila...
  12. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Je Mizimu ipo au ni maneno ya Watu

    Kwani wewe una roho nzuri sasa na bandiko lenyewe umeliweka kiroho mbaya tu kwa kifupi ni kwamba kila mtu ashinde mechi zake.
  13. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kujua Chief Godlove pesa anapata wapi leo nitawapa jibu

    Hakuna kitu kama hicho eti drugs
  14. Mbuguni TPC

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Kwenye meditation unaweza kuwapata malaika kama wanavopatikana majini wa asili tofauti tofauti?
Back
Top Bottom