Recent content by mbugila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mbwa wangu anaumwa pavo

    Wangu alipona kaka na anaendelea kudunda.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mbwa wangu anaumwa pavo

    Duh pole sana unywele mara nyingi akishafikia stage hiyo ya kutapika kupona ni bahat sana sana. Mm wangu alipata lakin hakufikia stage ya kutapika alikuwa anaharisha kinyes chenye damu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Live another Day: JACK BOWER

    Ninazo hadi episode ya 4 sasa sijui nitakupataje nikupe ndugu nipo morogoro.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba afunguka, asikitishwa na kauli za viongozi wa CCM

    Eti hadi komba mwimbaji kwaya nae anamsema vibaya huyu mzee. Kweli this z to much
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vyenye mademu bomba

    Maishan au Defrance pale sinza watoto wazur balaa mkuu au ukikosa kabisa nenda corner bar
  6. M

    JamiiForums Tanzania Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

    Muite mlale kwanza ndio umpe sm *****
  7. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Lowassa, Membe, Makamba, Wassira na Sumaye waitwa kuhojiwa

    Huna jipya lowassa ndio rais ajae
  8. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM Morogoro wampinga Malecela

    EL ni chaguo la mungu hakuna wa kumzuiya.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Makonda rudi kwenye chama chako ccj na hao wanao kutuma. Ccm oyee lowassa juu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sitta apagawa na nguvu ya Lowassa

    Sitta ni kilaza kwa lowassa. EL ni jembe la hatar.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Mbona ww mwenyewe sio mwaminifu kwa mumeo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

    Mengi anataka kufanya udalali anataka kutuzuga wazawa. Kila kitu amiliki yeye bana. Muongo anaongea facts
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

    Cc imetoa maamuz sahihi kabisa. Zitto hatukutak tena cdm nenda ccj
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuitisha kikao cha siri kujadili kauli za Zitto na Mkumbo kwa waandishi wa habari

    Mfukuzeni huyo zitto na utakuwa mwisho wake. Hakuna mtu maarufu zaid ya chama.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Asenga na mimi natangaza kujiuzuru rasmi.kusemea kampuni za watu

    Kuna watu wanakosa cha kuandika jf kama huyu mr asenga.
Back
Top Bottom