Mimi mashaka yapo kwenye hilo gazeti lililoandika hiyo habari yaani RAI hili hili la Rostam rafiki mkubwa wa Lowasa. Sichangii hapo wapambe wa Lowasa wanajichekesha wenyewe...
Sipendi watu wanafiki. Sita ni mnafiki sana, adhabu yake ingetakiwa awe ameshauwawa sana hivi....
Mchawi tu yule mzee hata mimi nikisimama nae hachomoi.
mkuu sitta unampima kwa lipi?manake naye ni mnafiki tu hana uzalendo wwote,anapiga kelele kwa sabu ameshazidiwa,kama ni ufisad hata yey mwenyew ni fisad,kama unakumbuka hajawahi kujib tuhuma za kujenga ile ofis jimbn mwako,kama unakumbuka alituhumiwa kuipa serikal bili kubwa ya madawa kwny dispensary ya hawara yake,
wanajamvi!!
Katika hali yakushangaza na yenye kuchekesha wazir wa afrika mashariki samweli sitta ameanza kuchanganyikiwa na nguvu ya mbunge wa monduli mh Lowassa
Kwenye gazet la leo la raia mwema limeandka sitta amshitaki lowassa na Rostam ccm,ukisoma habar zaid habar ile kwakweli kwa mtu mzma utagunduwa tu mzee huy ameanza kuchanganyikiwa kwan sababu za msingi anasema ni kutokana na matendo yao ya kifisadi na amesha andka barua kwa kweny chama chake ili waweze kuchukuliwa hatu,sasa najiuliza huyu mzee alikuw wp siku zote???au ameona kadri xiku zinapokwenda anazidi kubanwa mbavu kila kukicha,naje kuwashtaki rostam na lowassa kweny chama kwa sababu ambazo hazina msingi zitamletea unafuu wa yeye kuto endelea kubananishwa na nguvu ya lowassa?
Alimwambia Rais bungeni live kuwa aache upole awachukulie hatua mafisadi, pia aliruhusu uchunguzi wa Richmond. Viva Sitta, you're the real man of Tanzania, I support you our prezidaaa
mkuu sitta unampima kwa lipi?manake naye ni mnafiki tu hana uzalendo wwote,anapiga kelele kwa sabu ameshazidiwa,kama ni ufisad hata yey mwenyew ni fisad,kama unakumbuka hajawahi kujib tuhuma za kujenga ile ofis jimbn mwako,kama unakumbuka alituhumiwa kuipa serikal bili kubwa ya madawa kwny dispensary ya hawara yake, [/QUOTE
Mkuu sio kweli Kwamba ilikuwa dispensary ya Hawara yake bali anayofanya kazi mkwewe (Mume wa binti yake). Wakati mwingine tusiandike habari tusipokuwa na ufahamu wake.
Mkuu, Lowasa atamtisha Sita kwa rushwa tu, lakini si kwa uzalendo, coz amenunua viongozi wengi wa CCM kwa hela za ufisadi atamtisha Sita lakini akienda kwa njia za haki hata katika jimbo lake akigombea uenyekiti wa kijiji hapati, huo ndo ukweli ingawa mchungu..
Hata mimiMimi siyo CCM;
Naweza kumsupport Lowassa kuliko Sitta;
Sitta amejaa unafiki
mkuu sitta unampima kwa lipi?manake naye ni mnafiki tu hana uzalendo wwote,anapiga kelele kwa sabu ameshazidiwa,kama ni ufisad hata yey mwenyew ni fisad,kama unakumbuka hajawahi kujib tuhuma za kujenga ile ofis jimbn mwako,kama unakumbuka alituhumiwa kuipa serikal bili kubwa ya madawa kwny dispensary ya hawara yake, [/QUOTE
Mkuu sio kweli Kwamba ilikuwa dispensary ya Hawara yake bali anayofanya kazi mkwewe (Mume wa binti yake). Wakati mwingine tusiandike habari tusipokuwa na ufahamu wake.
sasa mkuu tunaomba utupe kidogo kuhusu hilo ladawa,mi hyo skendo cijawahi isikia,
Liwalo na liwe we unadhani six alifurahi kutoswa na kambi ya E.L wakati wa kugombea Uspika 2010, wakaambiwa ni zamu ya mwanamke, mmesha sahau jinsi chenge alivyowaita waandishi wa habari wakati wa mchakato wa kuchukua fomu za uspika akimlaumu Six eti ni mzandiki na mambo mengi. nGOMA INOGILE VITA VYA KUNGURU ......................!
Hamna cha vita hapo ni sawa na Ashanti vs Man City, tumeshuhudia hata wazee wa Unyanyembe wakimpa uchifu EL kitu ambacho kilikua ni kama tusi kwa Sitta.
Umeme umepanda sana bei kwa sababu Sitta akishirikiana na washirika wenzake walishinikiza TANESCO wasilipe shs. bilioni 60 tu kununua mitambo ya Richmond/Dowan na sasa baada ya Symbion kununua mitambo hiyo kwa zaidi ya bilioni 150 na pia TANESCO kuilipa Dowans shs. bilioni 110 kwenye kesi iliyotokana na Sitta et al kukataa mitambo hiyo isinunuliwe, sasa gharama zote hizi zinarudi kwa mlaji wa umeme kwa njia ya bei mbaya ya umeme inayotozwa na Symbion kwa mitambo ile ile iliyoletwa na Richmond. Sitta ni mhujumu uchumi mkubwa! Mnafiki wa kutupwa. HIVI HASARA HIZI MBONA WATETEZI WAKE HAMUMWULIZI???Kwako wewe ufisadi sio issue!!? Wa-tz sijui wamelogwa na nn? Ukiwa mjinga ni bora ukae kimya uelimishwe... hujui hayo mabilioni ya Rostam na Lowassa ni ya kifisadi na hujiulizi kwanini mpaka leo umeme unapanda bei kwa sababu ya upuuzi kama huu...