Recent content by MBUGHUNI KIDAISHO

  1. MBUGHUNI KIDAISHO

    Ratiba yangu ya leo kwenda kuangalia meli Ferry (unemployed).

    Unajiita jobless wakati hata spelling za maneno zinakushinda, unanyota ya maji chumvi. Bahari rafiki yako!
  2. MBUGHUNI KIDAISHO

    Ratiba yangu ya leo kwenda kuangalia meli Ferry (unemployed).

    Anamiliki simu ya 200k analafu anajiita jobless, njoo nikupe kazi ya kupikia wanafunzi wangu chakula hapa shuleni.
  3. MBUGHUNI KIDAISHO

    Je, kuweka nembo hii ya taifa kwenye ofisi binafsi ni kosa kisheria?

    Je nikieka bendera ya TANZANIA ile ndogo oficn kwangu ni makosa kisheria?
  4. MBUGHUNI KIDAISHO

    Kati ya umeme wa betri na umeme wa Tanesco upi ni hatari?

    Safi, jina lako lina SAWIRI maada uliyo leta!
  5. MBUGHUNI KIDAISHO

    Nahitaji nyumba ya kupanga Chanika

    Hahaha maisha ni hatua ndugu!
  6. MBUGHUNI KIDAISHO

    Nahitaji nyumba ya kupanga Chanika

    Chanika, ilala Dar esalamu!
  7. MBUGHUNI KIDAISHO

    Nahitaji nyumba ya kupanga Chanika

    Nyumba iwe nzur self-containe , vyumba v3 jiko, choo, stoo na iwe na mazingra mazur. Bei laki moja kwa mwezi.
  8. MBUGHUNI KIDAISHO

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kila mtu atupie yake ya leo!
  9. MBUGHUNI KIDAISHO

    Mume ananikwepe nifanyaje? Naombeni mnishauri.

    Hana hata adabu usiku huu na ka mada kake ka hoooovyoooo Mcheki tu macho twake!
  10. MBUGHUNI KIDAISHO

    Mume ananikwepe nifanyaje? Naombeni mnishauri.

    Namjua huyu jamaa, ni ME wala msipoteze muda kutoa ushauri, thus y hata kujibu some maswali hajibu.!
  11. MBUGHUNI KIDAISHO

    Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

    Wewe ni KE. au. ME?
  12. MBUGHUNI KIDAISHO

    Wauza smartphone tukutane hapa

    NOKIA 2.1 NEEDA TO EXCHANGE MWENYE SAMSUNG AJE NIMPE NOKIA 2.1 IPO DAR PUGU 0735101826
Back
Top Bottom