Mume ananikwepe nifanyaje? Naombeni mnishauri.

Mume ananikwepe nifanyaje? Naombeni mnishauri.

Yaani kama huyo jamaa yako anabeti atakuwa mda wote anawaza mikeka yake na usikute huko anakojifungia atakuwa anasaisha mikeka yake mdogo mdogo
 
Moja ya mambo yanauopelekea ndoa kuvunjika ni swal kunyiman unyumba, kwa wanandoa na ni sababu tosha kabisaa'' lakin tu siende uko, njia sahh ya kutatua tatizo ni kuzungumza kwa nyie wawil ili mfikie mwafka'' tendo la ndoa ni haki ya msingi kwa wanandoa likikosekan inamana hapo hamna ndo usiruhus hii hali iendelee kaeni chin mzungumzee mtaupata mwafaka'' zungumza na mwenzako pia badilisha mazingir ambayo mtafanya mazungumzooo sehem tofaut na hapo hom'' kila la kheriii
 
Duuuh pole aisee
Ongea nae mueleze kwamba unamuhitaji, na umwambie mume wangu huniridhish na mtishe mwambie nikichepuka usinilaumu, ila akikupiga makofi shaur yko.

Ongea nae kwa upole na mahaba yote atakuelewa tu, atakwambia kinachomsumbua
 
Ndg zanuni,

Habari ya jioni hii ikiwa leo tareh 29 jumapili.

Waungwana niende moja kwa moja kwenye mada.
Mume wangu ananikwepa anitendei Haki katika kutimiziana maitaji yetu yakindoa(mwili)(kugegedana).

Kila siku napewa sababu akitoka kazini anajifungia chumba ambacho wana lala ndg zake wakiume nakusema kachoka sana na haitaji usumbufu ataki ata mazungumzo na ikitokea kanipa mkunyenge basi anamaliza yeye ananiacha natoa macho tu nakua bado nahitaji na sifiki kileleni.nimekua mtu wamawazo isitoshe hana dalili ya kuchepuka maana anawahi kurudi nyumbn sana na hata wikiend hatoki nyumbn pia cm yake ya tochi atumiwi ujumbe wowote zaid ya message za kubet na za voda na za mpesa uuuuuf! Nivute pumzi kwanza.

Kiukweli nimechoka kuomba penzi na kumwinda kila saa ,mawindo yasio na faida maana na mienzi mitatu sasa sijapigwa miti.

Ndoa ina miaka 2 .

Niko seriou waungwana naitaji ushaur makinika naitahi msaada naomben muweke utani pemben kwaleo.[emoji1317]
Navyo ona Mimi huyu mi mwanaume anafanyiwa haya yote ma mke wake
Cha kufanya naomba umwambie ukweli tu maana uvumilivu unakushinda na mlioana ili kubenjuana
 
Muombe Mungu kwa imani ambadili Mmeo, miti sijui nini hayatakusaidia
 
Ndg yngu nimevumlia kwakipindi kirefu sasa mpk nakumbuka m ex zangu shd nikwamba siwez kuwatafuta.natamani ningepata mtu nae mjua rejali akanipige mtiiiiii niwezawa atakiufahamu
Kupitia point hii nmeamin malaya wa bongo mnakuja na mbinu nyingii
 
Hana hata adabu usiku huu na ka mada kake ka hoooovyoooo
Mcheki tu macho twake!
FB_IMG_1569760382812.jpeg
 
Ndg zanuni,

Habari ya jioni hii ikiwa leo tareh 29 jumapili.

Waungwana niende moja kwa moja kwenye mada.
Mume wangu ananikwepa anitendei Haki katika kutimiziana maitaji yetu yakindoa(mwili)(kugegedana).

Kila siku napewa sababu akitoka kazini anajifungia chumba ambacho wana lala ndg zake wakiume nakusema kachoka sana na haitaji usumbufu ataki ata mazungumzo na ikitokea kanipa mkunyenge basi anamaliza yeye ananiacha natoa macho tu nakua bado nahitaji na sifiki kileleni.nimekua mtu wamawazo isitoshe hana dalili ya kuchepuka maana anawahi kurudi nyumbn sana na hata wikiend hatoki nyumbn pia cm yake ya tochi atumiwi ujumbe wowote zaid ya message za kubet na za voda na za mpesa uuuuuf! Nivute pumzi kwanza.

Kiukweli nimechoka kuomba penzi na kumwinda kila saa ,mawindo yasio na faida maana na mienzi mitatu sasa sijapigwa miti.

Ndoa ina miaka 2 .

Niko seriou waungwana naitaji ushaur makinika naitahi msaada naomben muweke utani pemben kwaleo.[emoji1317]
mmeo anaendaga chumba walicho ndugu zake wakiume wanaenda kushindana kupiga nyeto
 
Wewe kweli ni mwanamke au ME?

Mumeo anafanya kazi gani ?
Mwanzoni kabisa performance yake ilikuwaje NA sasa ikoje?
Ana umri gani ?NA wewe pia una umri gani?
Life style yenu KWA ujumla ikoje? Yaani kuhusu afya zenu, shughuli /kazi zenu, vya kula na lishe yenu, maelewano yenu ktk NDOA, watoto, privacy ya hapo nyumbani kwenu, usafi wa mwili, nk., n.k.

Kumbuka kuwa, sisi Wanaume wengi "hatupendi wanawake wenye midomo, gubu NA dharau" majumbani mwetu.

Tafuta muda mzuri akiwa NA furaha NA wasaa mzuri WA kuongea ili mjadiliane suala hili KWA mapana, mueleze bayana kuhusu kero hii usimfiche kitu,

Usitafute ushauri KWA Watu wengine kwanza, KWA sababu watu wengi watatumia nafasi hiyo kukueleza kuwa uchepuke, au wengine watakutafutia mjchepuko kabisa
shughuli zao zinaingiaje au unataka kuwaibia?
 
Back
Top Bottom