Kwamba hata hukujua kama matic alikuwa na uneme ndo maana bruno kacheza ile sehemu? Mech zijazo matic anarudi kikosini bruno anasogea namba 10 pereira atakaa nje
Hata matic kawa vizur sana upungufu uliopo 7 na bissaka yule mzur kwa timu za kupak basi kushambulia ni sifur kama wanatafuta sare bissak mzur sana james bado hajawa poa martial mzigo shaw hawez kupiga cross timu nyingi zinazidiwa na liverpool upande wa bek mbili na tatu wale madogo wamechangia...
Bongo tunajua ni vibao kata tu na kuvua nguo barabarani mpira hatuwezi huwez kujua bruno alicheza namba gani unachojua mech iishe uje uponde bongo nyoso
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.