Recent content by Mbongo4life

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono suala la kubinasifisha Bandari ya Dar es Salaam

    Hakuna nchi ambayo imebinafsisha kila kitu mzee bandari ni sehemu nyeti sana huwezi kumpa mtu binafsi aendeshe kuna mambo mengi ya kiusalama kwetu na nchi jirani ni sawa na kuzi privatelize airports haiwezekani zitakuwa ni highways za kupitishia magendo na silaha haramu . YAANI TUMPE MCHINA NDIO...
  2. M

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

    Achana na habari za Vipers sisi wenyewe tunatakiwa kushinda au sare huko Guinea otherwise mambo yatakuwa magumu kwetu sababu tufungwa hiyo inabidi tumfunge Raja mechi ijayo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya?

    Mimi nafanya kazi Gerezani huku Marekani “ Larned Correctional facility so wengi wamesema eti huko ulaya mbona wanakula vizuri hakuna kitu kama hicho … Kwa standard ya bongo yes unaweza sema wanakula vizuri lakini Kwa standard ya huku chakura sio kizuri na wanalalamika kila siku plus msosi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

    So kwahiyo unasema uwezo wa kutuokoa anao ila ameamua kutuacha tuteseke kwa hiyo jibu ni kwamba sio mwenye huruma na upendo kama vitabu vinavyosema 😀😀
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

    Hivi kuna mzazi mwenye uwezo mkubwa kipesa na mwenye nguvu na anayewapenda sana watoto wake anaweza kujengea familia yake nyumba mfano wa dunia hii anbayo 99% ya viumbe ambavyo vilikuwepo vimetowe duniani kutokana na magonjwa, mafuriko ,ukame ,vimbunga ,njaa sizani mzazi mwenye uwezo mkubwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

    Gharama ni ile ile au inaweza kuongezeka maana contemporary unapunguza gharama za mbao na mabati lakini unaongeza gharama za cement , matofali , water proofing chemical ( gallon moja ni laki mbili na nusu) na inaongeza nondo za rinta na nondo za mifereji ukizingatia bei ya nondo sasa hivi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya mfungwa kupewa chakula kibaya?

    Wako jela kutumikia adhabu sasa ukitaka waishi kama wapo vacation tena unaweza gundua wafungwa hawataki kutoka jela wakitoka leo wanarudi tena the next day. Chakura ni sehemu ya panishment .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

    if God is all good (all benevolent) then God has the desire to end suffering, and if God is all-powerful (omnipotent) then God has the ability to end suffering. Therefore if God does not end suffering, then God is either not all good, or is not all-powerful, and is therefore not God”.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

    Kumbe bei ya kawaida sana mimi nilizani bei ni kubwa sana. Asante
  10. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

    Unajua kinschoendelea huko Iran? Dollar moja ya Marekani ni Sawa na elfu arobaini na mbili za Iranian money … alafu unasema sanctions zimefeli 😀
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Sasa wewe kwa mtizamo mahoteli yote yanayojengwa kigamboni unazani hakuna barabara ? hapo karibu na kwangu kuna Bamba beach , pickcock nao wanajenga hotel uazania wanatjenga tu bila plan?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Viwanja vyote hapo vimepimwa na vina hati hivyo vya ufukweni ni kwa ajili ya hotels alafu vinavyofuatia ni makazi hiyo ni beach area mzee kiwanja kidogo kabisa ni 1000 square meters
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Kiwanja kina number na hati ya wizara
Back
Top Bottom