Recent content by mbombo mte

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

    V'akuti mpopo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANGA: Wanafunzi wakimbia shule kisa hofu ya kuchanjwa

    HahahaaaaasSs
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Tuisila Kisinda na Clatous Chama linanishangaza

    Chama, Zimbwe, Onyango... Hawana mbio, lakini wanatumia hesabu na akili sana. Unaweza tembea lakini umepiga hesabu mpira utaupeleka wapi, kuliko kukumbia bila dira.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kuwe na Daladala VIP kukabiliana na foleni

    Wazo zuri.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya City FC Jersy Concept - 2021/22

    Umeonyesha mbele tu, nyuma vipi???
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mchezaji akitoka Yanga kwenda Timu Nyingine Lazma Achemshe

    Yanga inauza wachezaji waliochoka, wakati simba unauza wachezaji ambao bado wako kwenye 'form'.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haya amkeni amkenii! Yanga wanaonewa tena wakiwa mgongoni

    2.2
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Rais Magufuli azindua safari za ndege kati ya Dsm - Mpanda

    Jana, tumekosa ndege ya SAA 10 kwenda Mbeya, kumbe iko Mpanda.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tixon Nzunda ni nani na amewafanya nini TAMISEMI?

    Ni ndugu kiukoo!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

    'Labda JPM kaamurisha/kaingilia Uhuru ws Mahakama ya Gauteng, kama wengine walivyokuwa wanasema!!' Hongera mahikimu wetu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shule hii Mbeya iko wapi?

    Hiyo shule ya NA Mbeya ndipo ilipo sasa Meta Secondary School karibu na Mabatini. Ilichukuliwa na CCM imekuwa Shulman ya wazazi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shule hii Mbeya iko wapi?

    Ndiyo.
Back
Top Bottom