Recent content by mboka unyanyembe

  1. M

    Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

    Hatuna imani na siasa za ukawa hata mjitetee vipi tumechokeza na sias zetu zakutufaya mazezeata shame on you.
  2. M

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Pesa za LOWASA ale mbowe wananchi tushawishiwe kumchagua hakuna kitu kama hicho atachaguliwa na familia ya mbowe hata iweje ikulu hanusi hatudanganyiki.
  3. M

    Lowassa, Mbowe siri nzito hadi kubadili mgombea mwadilifu aliyependekezwa CHADEMA

    chadema mlisha chemka ninyi hamna jipya lazima damu ya waliokufa kwenye maandamano iwe juu yenu maharamia ninyi mnataka urais wa shortcut?kana kwamba hamna mipango ya muda mrefu.
  4. M

    Mtazamo wa Bi. Ananilea Nkya Juu ya Lowassa Kuingia CHADEMA na Kugombea Urais

    Hebu tuache tabia ya kusafishana huu ni upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi sisi sio watoto EL ni anatuhuma hafai kuwa kiongoza wa nchi hiii tafadhari hivi ninyi watu mmlogwa!!
  5. M

    ACT-Wazalendo wazomewa Shinyanga

    unampenda wewe nafamilia yako sisi chaguo letu ni JPM
  6. M

    Sasa naamini Zitto aliwekewa mizengwe

    msitufanye mazezeta sio watu wakugeuzwa geuzwa kama chapati chadema hatuwaelewi.
  7. M

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    kwani bila lowasa hakuna siasa? watu wanamtaka lowasa au wanashida na pesa zake.
  8. M

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    LOWASA ndo nani yeye hakuzaliwa? hakuna jipya zaidi ya ufedhuli tu watz bwana! ni watu wakuyumbishwa sana mbona mnakuwa popo jamani.
  9. M

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    hakuna jipya kweni is the EL an angel? mpaka itokee shida mbona watu mnajijaza upepo wenyewe
  10. M

    Siasa katika mkoa wa Kigoma ni hatari

    Ushindi wa zzk kigoma mjini uko uchi ccm wanalijua hilo na vyama vyote wanalifaham licha ya kwamba maadui zake wanaleta siasa za majitaka.zzk hata awe msaliti mara 100 hawezi kulingana na mtu yoyote atakaye letwa kugombea coz siasa anaijua kama ni fitina ndo usiseme so dogo yuko sawa na hawezi...
  11. M

    Mkuu wa Wilaya aosha gari la ACT - Wazalendo

    hata cuf na chadema walikuwa ccm B
  12. M

    Zitto, unatuachaje?

    Acha unafiki kawaulize wakulima wa kahawa, watu hamna jema hata kama hakuna tangible alizo acha hata goodwill huzioni ukienda mikoani ukasema unatoka kigoma unaulizwa kwakina zitto? watu wengi wa kigoma mmeanza kujitaja kuwa ni wa kigoma baada ya zzk kupata umaarufu wengine mlikuwa mmeshapakana...
  13. M

    Zitto achukua fomu Kigoma mjini

    Hata wewe pia ni uongo hakuna binadamu asiye muongo usihukumu ukaja kuhukumiwa.
  14. M

    Mwl Kaijage vipi tena au Ulikuwa un-ACT Uzalendo

    Hakuna wananchi wapuuzi kama watanzania east africa nzima jamaa amenena si uongo
  15. M

    Nkuruzinza, Mkataa pema - pabaya panamwita!

    mtu kashapinduliwa tayari anahaja gani kushauriwa huyo maachiwe aende mitaani akalime tu.
Back
Top Bottom