ALLY ADAMU
Member
- Jul 12, 2015
- 10
- 1
Watu wengine hovyo sana wakimkaa tu huyu mwizi mara fisadi unaushaidi usiwe unaropoka tu!
Nashukuru kwa kulijua hilo kuwa kuna supu ya panya buku,nishaipata tayari,vipi ushshajiandaa kisaikolojia? Act wanazomewa kila kona ya nchi hii,ccm inazidi kuteketea sijui utakimbilia wapi
nACHUKUA KADI WEEKEND HII PALE TAWI LA TUNGI KIGAMBON , KAMA MPO HUMU NAJA HAPOKaribu sana kiongozi na hongera sana kwa kutambua jukumu lako
Hali si shwari tena ndani ya ACT-Wazalendo mkoani Shinyanga baada ya wananchi kuamua kuwazomea viongozi wa ACT-Wazalendo waliokwenda kufanya mkutano wa kampeni.
Ni aibu sana kwa ACT-Wazalendo wanaojipambanua kupendwa hasa mikoa ya Magharibi.
Wajipange upya,walianza Geita wakaja Bukoba,wakaja Sumbawanga,wakaja Tunduma na sasa Shinyanga.
japo umeendaika uongo na uzushi hebu jibu hapo kwenye red! kampeni zishaanza? au unaota ndoto za alinacha? na ni kiongozi gani alikuwepo kwenye mkutano huo wa kuzomewa?

nawaonea huruma watanzania. mimi hata akiingia nani sitaathiriwa na chochote kwenye maisha yangu.pole kama hujui hilo.Husije kujitia kitanzi mara baada ya kumtangaza mh Edward ngoyai lowasa kuwa rais wa jmt.