Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Kigoma Kaskazini ni ya ACT-Wazalendo,wagombea kwa sasa wanaojadiliwa nkwa upande wa Ukawa ni Dr Yared Fubusa wa Chadema,Kwa upande wa ACT -Wazalendo wapo Dr Alex pamoja na Mwl Jashia Khamisi Maarufu,Na CCM anajadiliwa sana Peter Serukamba.
Lakini kama Jashia Khamisi Maarufu atapewa nafasi na chama cgake,basi ACT -Wazalendo watashinda mapema kutokana na kijana kukubalika zaidi jimbi ni ndani na nje ya chama chake.
Kigoma Mjini Zitto kishashinda na sasa anasubiri kuapishwa tu.
Kasulu Mjini ACT kama watampata Machali watashinda Mapema sana.
Majimbo ya kibondo yatagawika kwa ACT na CCM
Kigoma kusini ukawa wanachangamoto kubwa kutokana na Kafulila kutifahanika vizuri msimamo wake,maana anaweza timkia ACT wakati wowote
+kumbe UKAWA hawapati hata diwani duu kweli kiongozi mkuu ni mkuuu huko Kigoma