Recent content by Mboga7

  1. Mboga7

    Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

    Nakumbuka nlikuwa natoka club enzi hizo gyptian,mims na elephant man wamekuja afterparty maisha club,ilikuwa jmosi baada ya ijumaa kutoka kupiga pepa..sasa ile narudi mabibo hostel saa 12 kasoro asubuhi, sista ananipigia simu hiyo jpili asubuhi niende church anabatiza mtoto nikampige...
  2. Mboga7

    Nakshi nyumba yako iwe na mng'ao wa kushangaza na Veneziano stuco kutoka Venice Italy

    Mkuu napenda kufahamu vitu kadhaa.. 1. Naomba elimu ya application yake katika ukuta wa namna gani na coats ngapi 2.Naomba kuona ingridients zake (ukinipigia picha itafaa zaidi) 3.Stucco most of the time nadhani wa apply kwa nje sasa naomba kujua why hiyo ni ndani tu... Natanguliza shukrani Mkuu
  3. Mboga7

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Na ishu ya SG barker anaitaka sana
  4. Mboga7

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Mwisho wa linc hauwezi kuwa mzuri na im sure sio mda mrefu atavuna alichopanda
  5. Mboga7

    Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

    Zootopia ni nzuri zaidi,moana sio mbaya sana ila kwa kulinganishwa na Zootopia haifikii..hata mauzo tu imeachwa mbali sana
  6. Mboga7

    Valentines Special Thread 2017

    Happy valentine to the one and only....
  7. Mboga7

    Imenipa hisia na Inahuzunisha

    Ubunifu mzuri although huyo dada hayupo hapo kihisia.
  8. Mboga7

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    May our almighty Jehova confort kenyans at this difficult time..poleni sana
Back
Top Bottom