Recent content by mbj

  1. mbj

    JamiiForums Tanzania Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

    Sasa unataka watu wavute magari? Acha watu waondoe stress zao bhana
  2. mbj

    JamiiForums Tanzania Safari ni ndefu sana

    Tutokako mbali na tuendako bado ni mbali zaidi lakini tutafika tu.
  3. mbj

    JamiiForums Tanzania Mke amuunguza mumewe sehemu za siri na maji ya moto kisa wivu wa kimapenzi

    Duh! Kwahyo jamaa kaunguzwa mpka na mashine!kweli wanawake tuishi nao kwa akili
  4. mbj

    JamiiForums Tanzania Hizo milioni 500 mnazoahidi kwa timu ikishinda kwa nini msingeziingiza kwenye usajili mkasajili wachezaji Bora kuliko hao mlio nao

    Motivation inatakiwa jata kama utasajili wachezaji wa aina gan sasa 500mil unasajili mchezaji gani mzur kwa mfano,ukiangalia usajili wa Al ahly hyo huenda ni posho ya mchezaji mmoja au wawili so wako sawa kuahidi hyo pesa bila kuangalia usajili ukoje,jikune unapoweza
  5. mbj

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Anadeal na issue za nchi!hot one[emoji16][emoji16]
  6. mbj

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Mchango wakwenda huko alitoa nan na alienda kufanya nn?isitoshenauli na mambo mengine yote ni sadaka za wakatiriki haohao sasa,let us pray for him,life iko tough sana.ni wakati wa kuongeza imani na sala ili ndg yetu apate nguvu na ujasiri wa kuvumilia mateso hayo na kuyashinda,
  7. mbj

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Your opinion ila hyo imeenda!
  8. mbj

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu unaoishi: Jamii nyingi Afrika maisha yanaandaliwa kutokana na wazazi au familia tunazokulia

    Tia shawaruma hzi mkuu we need to boost our mind japo inaweza isibadilishe uhalisia wa mambo ila itatupa nguvu ya kupambana
  9. mbj

    JamiiForums Tanzania Mbj hapa

    [emoji16][emoji16]
  10. mbj

    JamiiForums Tanzania Mbj hapa

    Hii nzuri aisee!
  11. mbj

    JamiiForums Tanzania Mbj hapa

    Habar zenyuuu nyote!
  12. mbj

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mume)

    Kwendraaaa!miaka 23 unatafuta mume wakati wenzio wana 30 na bado wanatafuta kaz kwanza,weka cv yako ili tusisumbuane baadae
  13. mbj

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu unaoishi: Jamii nyingi Afrika maisha yanaandaliwa kutokana na wazazi au familia tunazokulia

    Kuna namna watu tunaishi kwa ndoto kubwa lakini tunajikuta tukiendelea kuogelea kwenye maisha ya kawaida tofauti na ndoto zetu. Wengi wetu tunaishi maisha ya daraja la kawaida sana lakini tunapambana ili kufikia malengo makubwa huenda kuliko yale tuliokulia na yale ya wazazi wetu lakini tuna...
  14. mbj

    JamiiForums Tanzania VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KWENYE KUBET✍️✍️✍️

    Kama ni kwa maneno makali kiasi hcho wala huna faida ya kuwashauri vijana,unamwita shetan mwajiri wa vijana?ur not serious aisee,kuna watu/wananchi wanasomesha na kiendesha maisha kwa kubashiri afu from no where jamaa unakuja kuwadiscourage kweli!njoo na solution ya vijana kupata ajiri ili...
Back
Top Bottom