Recent content by mbibilu

  1. M

    Madereva boda boda ndo wame muua Mashali...

    nadhani sababu kubwa haswa ya hawa baadhi ya celebrities kukosa usafiri ni kutokana na nchi yetu yenyewe kuwa third world country ivoo ataa baadhi ya celebrities wetu wako kimasikini masikini tuu....hivi vitu vya celebrities kutokuaa na usafiri binafsi huwezi visikia first world...
  2. M

    Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    hahahahahhahha umenifanyaaa nicheke kwa saut usiku huuu duuuuuuh
  3. M

    Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    hivi huyu mama hajui watu tunatumiaaa MB kutizima?
  4. M

    Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    tatizo arusha hamna potential kama mwanza kwenye issue za kitaifa hasa kwenye kuhost vitu vikubwa kama hivi na apa vinazingatiwa vitu vingi makampuni yamekaa pamoja na waandaji nakuona baada ya jiji la daslaam yes jiji la mwanza somehow lina potential angalau ya ku host hii event na faida...
  5. M

    Tathmini: Haya ni mambo yaliyosababisha Watanzania kumchoka haraka Rais Magufuli

    ungeandika headline yako hivi "baadhi ya mambo ambayo yametokea kwenye serikali ya magufuli na kuwafanya bavicha wapate pa kuongelea" nadhani ingekua poaa sanaaa
  6. M

    Mkono wa kushoto umenipa msichana

    afadhali umemwambiaa ukwelii manaa vijanaa ngono imetutawala kupita maelezo....lazima tujenge mazoea ya kufikiri zaidi kuliko kushiriki zaidi
  7. M

    Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

    uku angekulaa shaba tu uyoo sisi atuleii upuuzi wanaume wa dar mmempokeaa kwa sababu mnafanana nae tabia siunajua tena undugu na urafiki always is about sharing of some common interest.....
  8. M

    Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

    ila si anaishi dar...... kakimbia huku mkoani mana sisi hatupendagi ujinga
  9. M

    Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

    hivi we jamaa kwenu na wewe unaitwa kaka wakitegemea kuna mtu mwenye akili ya kuikomboaa familiaa yake kwelii....achaa utoto wewe kua inaonesha mapenzi yametawala sana fikra zako
  10. M

    Rais Magufuli akutana na mabalozi Ikulu, awapangia kazi na kuwapa onyo

    we jamaaa vipi mtoto wa kiume unacheka cheka kimipasho ivyo kama mwimba taarabu afu bado unajisifu
  11. M

    Rais Magufuli akutana na mabalozi Ikulu, awapangia kazi na kuwapa onyo

    daaaaah ngja nkuache mana unapayuka payuka tu
  12. M

    Rais Magufuli akutana na mabalozi Ikulu, awapangia kazi na kuwapa onyo

    mkuu naona kama unajichanganya manaa wewe umezungumziaa sualaa la mambalozi wasingekuja huku na ingetumika njiaa yoyote ya kitechnology ili kupunguza gharama ya go and return tickets sasa apo sula la deni la taifa limetokea wapi tena
  13. M

    Rais Magufuli akutana na mabalozi Ikulu, awapangia kazi na kuwapa onyo

    ingekuwa ni suala la kupigiana simu tu kusingekwepo na haja ya delegations za nchi zingine mf.rais flan toka nchi za mbaali kuja tanzania na badala yake wangekuwa wanawasliana tu mambo yanaisha....apa kinachotizamwaa ni uzito wa jambo na ndio mana hujaona icho unachokitaka wewe kikifanyika...
  14. M

    Tuache unafiki, wengi wetu tulicharazwa na kupigwa kuliko yule wa Mbeya

    hapakuwaa na huo unaouita upuuzi kwasababu hukuwai kumkaba koo mwalimu wako au mlezi wako wa shule....jaribu kujenga fikra wewe ndie mwalimu umekabwaa kooni na mwanafunzi huku akitoa lugha ya matusi mbele ya darasa kama binadamu yeyote ilee ni fedheha kubwa sana mbaya zaid ukizingatia wale...
  15. M

    Nauli mpya za Ndege za ATCL, ni ofa lakini zitadumu muda gani?

    wanaangaliaaa accessibility ya abiria inawezekana dar -mwanza kuna uwezekano wa kupata abiria wengi zaidi kwa kila trip kuliko dar-mtwara kwa kila trip
Back
Top Bottom