Recent content by mbezithefighter

  1. mbezithefighter

    Rais John Pombe Magufuli tunaomba msamaha

    Mh rais sisi marafiki zako wahari yachini huku bukoba tumelazimika kukuomba msamaa make niwazi kabisa una kisasi na sisi ndani moyo wako. Tunaamini kosa letu kubwa kwako nikitendo cha sisi kuto mpigia kura ndg khamisi suedi kagasheki ambae alikua mgombea umbunge kupita ccm jibo la bukoba mjini...
  2. mbezithefighter

    Waziri Simbachawene aifuta bodi ya Machinga Complex

    Kwa mtazamo wangu kwa hili waziri Simbachawene kakurupuka. Haiwezekani migogoro iliyopo machinga complex imalizwe na mkuu wa mkoa wakati Meya wa jiji yupo. Swali lakujiuliza muda wote alikua wapi? Anasubiri Meya wa jiji kachaguliwa na kaibua jipu hilo ndo Simbachawene anaibuka na kusema eti...
  3. mbezithefighter

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Jumanne tuliambiwa eti mabasi ya mwendokasi Yataanza kufanya kazi kesho Yake Yaani Jumatano. Cha kushangaza mpaka sasa hivi hamna kinachoendelea. Hilo si jipu Jamani!
  4. mbezithefighter

    Huu ndio ukweli

    Wanawake huwa wanapata Wakati mgum hasa pale wanapo pata mwanaume ambae anajua mapenzi ila Hana ela, au ana ela ila Hajui Mapenzi. Ndo maana Wanakua vinala wa Michepuko, na ukifatilia wanawake wengi Wana wa toto ila Hawana Waume.
  5. mbezithefighter

    Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

    Bingwa wa kutanga tanga ni Gardner g abash
  6. mbezithefighter

    Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

    Bingwa wa kutanga tanga ni Gardner g abash
  7. mbezithefighter

    Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

    Mtoa Mada hajatumbuliwa na Hana mpango wa kutumbuliwa. I spokuwa waliotoka wanakerwa na kitendo cha clouds kutaka Kuabudiwa na wasanii
  8. mbezithefighter

    Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

    Wamechukua mpini wakatupa majembe, Tena mpini wenyewe ni wamti wa mabua. Unaweza kusema hivyo ni baada ya Gerardi hando pj na mpishi wao kujiunga Rasmi Efm, huku bingwa wa katanga tanga namzungumzia Gardner g habash kurudi clouds
  9. mbezithefighter

    Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

    Asante kwa kunikosoa, wajiunga Rasmi Efm
  10. mbezithefighter

    Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

    PJ ,Gerald Hando na Mpishi wao wajiunga Rasmi Efm.
Back
Top Bottom