Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Katika mahojiano aliyoyafanya na BBC , Rais mstaafu Kikwete amekiri kuwa hivi karibuni atakabidhi Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kwa Rais Magufuli na yeye kubaki kama mzee mstaafu lakini maarufu.
Hata hivyo Kikwete amekiri pia kuwa ataendelea kushughulika na maswala ya kimataifa kama sehemu ya kazi yake baada ya kustaafu.
Kile kitendawili cha Chama sasa kimeteguka.
Hata hivyo Kikwete amekiri pia kuwa ataendelea kushughulika na maswala ya kimataifa kama sehemu ya kazi yake baada ya kustaafu.
Kile kitendawili cha Chama sasa kimeteguka.