mbezithefighter
Member
- Nov 15, 2015
- 12
- 20
Wanawake huwa wanapata Wakati mgum hasa pale wanapo pata mwanaume ambae anajua mapenzi ila Hana ela, au ana ela ila Hajui Mapenzi. Ndo maana Wanakua vinala wa Michepuko, na ukifatilia wanawake wengi Wana wa toto ila Hawana Waume.