Recent content by mbezibeach 2

  1. M

    JamiiForums Tanzania PUBLIC ENEMY # 1. ( BABY FACE NELSON)

    Post nzuri sana...mtoa post ubarukiwe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na wanachama wanaohamia CHADEMA kutoka CCM

    D Dr. Wa Theolojia ni Wilbroad Slaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni Kiongozi gani mkubwa aliyepewa Almasi ya Dola milioni 200? Mali zake zitaifishwe!

    Duuuh kweli hii ni JF na hawa ndio wachangiaji wake muhimu...Hakuna sheria inayoongelea juu ya zawadi na taratibu zake kwa kiongozi wa uma?? Au ni kuangalia kwamba watu flani watalalamika au kushangilia?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

    The Bold The Bold Matola
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

    The Bold The Bold Matola
  6. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ajiridhisha wabunge 8 wa CUF kufukuzwa uanachama. Asema wamekosa sifa za kuwa wabunge

    Kwa Taifa lililo na vyombo makini na vyenye weledi vya usalama haya si mambo ya kukalia kimya hata yakifanywa na nani?? Sasa naona wanausalama wetu wamekaa kimya kwa sababu yanafanywa kwa baraka za serikali... Yangu Macho lkn hata nchi zenye ugaidi hazikupenda kuchukua mkondo huo bali hali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Mimi huyu nilimdharau sana aliposhika msimamo wa wabunge "wapendwa" walioamriwa kususia arusi ya Prof Jay...Ili mkuu asimuone kama anashirikiana na wapinzani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

    Manji anavuna aliyoyapanda kwa muda mrefu....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Coco Beach: Manji amwandikia barua Rais Magufuli

    Mkuu acha kupotosha watu kwa sababu unazozijua wewe... Huyo anaitwa Alphonce Buhato...ni kijana wa mzee Buhato wa pale Nansio Ukerewe...Masaki na Ubungo msewe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Escrow saga: Waingereza wanavyotukejeli!!

    Mkuu hao wazungu ni ma mbwiga wanafahamu fika kabisa ktk Africa, the second busiest area Ipo Tanzania nayo ni Kariakoo tena Hata journals zao huwa zinataja Congo na Msimbazi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Mkuu muulize huyu Pimbi Mwanakijiji kwamba kwani Davido alivyopanda jukwaani na kutumbuiza licha ya zuio la Mahakama kuna mtu yeyote aliyejiuzulu ktk idara za Mahakama????
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chief Kiumbe yupo lupango Dodoma, akabiliwa na kesi mbili

    Chief sidhani kama ni mtu wa moto....ila ni tapeli. ..mtu wa michanga ya macho kama ustaadh Juma......yule aliyekuwa karateka mzuri wa enzi hizo ni kaka yake....Juma Banatozi aliuawawa kwa tuhuma za ujambazi Morogoro lakini sina uhakika kama alikuwa jambazi, kwani kwa nchi hii lolote laweza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ujio huu, Prof JAY ndio baba wa Hiphop Tanzania

    Kazi nzuri sana toka kwa Prof Jizze....Haters wabwabwaje wawezavyo but track ni nzuri kuanzia shooting hadi flowing
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Kinondoni na mjumbe wa Baraza Kuu ahamia ACT

    Aisee siku nyingi sijaingia JF...Kumbe wewe msukule bado upo..?? Unakandia wakaskazini ilhali unatamani na ku dream life style yao..
  15. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji, Sikutoa maoni mimi kwenye tume ya Jaji Warioba

    Atakaa Ikulu ya Mwanza au Yoyote itakayoamuliwa na Watanganyika wenyewe.
Back
Top Bottom