Escrow saga: Waingereza wanavyotukejeli!!

Escrow saga: Waingereza wanavyotukejeli!!

Wazungu wapumbavu sana...wameenda kupiga picha Tandale afu ndo wanasema busy street......Solution hapa ni kuacha kutegemea misaada ya wazungu,...wanatudharau sana hawa

kwani hiyo busy street si iko dar es salaam?
 
Mkuu kwa kweli sisi ambao ni wanachama wa chama tawala, chama kinatuweka njia panda.
Chama kinapocheka na nyani, hii inaudhi sana!!

Mi nadhani tunahitaji watu wazalendo walio huko kwenu na wengine walio upinzani wajitoe...waunde chama kingine ...hasa hawa vijana kwa mfano wale wa PAC...It can help us...Unajua tukienda kwa pace hii 2015 tutaumia big time....Najisikia uchungu sana kwa Tanzania yangu ijayo
 
Mkuu hii picha ndio wameweka kama busy street kwa DSM na tz kwa ujumla?

Tena mi nahisi hawakupata sehemu nzuri ya kuweka. Wangeweka ile barabara ya midizini manzese. Hakuna haja ya kudanganya watu kwa kuonyesha majengo ya NSSF, PPF, nk eti tuseme ndo Dar. Sehemu kubwa ya miji yetu iko hovyo kuliko hapo walipoonyesha.

Dar unaita jiji wakati vinyesi vinatembea kati ya mji? Kuku wanawika kukuamsha! Jiji gani hilo takataka tu!
 
Hiyo picha waliyoweka imekaa kiushabiki,kwanini wasiweke ya masaki
 
Mkuu hii picha ndio wameweka kama busy street kwa DSM na tz kwa ujumla?

Mkuu wzungu hasa waandishi wa habari wao wakitaka kukujengea dharau kwao , hivyo ndivyo wanavyowaambia watu wao.
Hapo wameonyesha kuwa watu wenyewe masikini sana, hiyo "busy street" ndiyo level yao ya maendeleo, halafu ndo viongozi wanajikwapulia hiyo Bilioni 321.

Wacheni upuuzi kwani hiyo picha haitoki Dar Es Salaam! I mean sio ya mahali ambapo ni Dar? Hawa viongozi wezi ndipo walipotufikisha hapo wanakwapua pesa za walipa kodi na kujikimu wao binafsi na hakuna wa kuwawajibisha kwa sababu hao wanaoibiwa wanaishia kula kwa dola moja kwa siku. Kwanza wazungu wenyewe wala hawajihusishi na mambo ya walalahoi wanawaonea huruma kwa sababu wanafahamu jambazi kuu linalala Magogoni.

Kukata mzizi wa fitna na nyie wekeni picha za kwao ambazo ni hoi bin taabani mnashindwa nini?
 
Wazungu wapumbavu sana...wameenda kupiga picha Tandale afu ndo wanasema busy street......Solution hapa ni kuacha kutegemea misaada ya wazungu,...wanatudharau sana hawa

Utawezaje kuacha kutegemea misaada ya wazungu wakati leo hii Rais wa nchi anajivunia kusimuliwa jinsi alivyotibiwa US? Alipokuwa akisimulia wewe umeelewaje? Binafsi, zaidi ya Taifa kutaka kujua juu ya afya yake kama Rais, nimeona brain yake ikitaka kutukoga kwa kuchunguzwa na kutibiwa walikoendelea!

Hatuwezi mpaka evolution ibadili ubora wa ubongo wetu.
 
Tena mi nahisi hawakupata sehemu nzuri ya kuweka. Wangeweka ile barabara ya midizini manzese. Hakuna haja ya kudanganya watu kwa kuonyesha majengo ya NSSF, PPF, nk eti tuseme ndo Dar. Sehemu kubwa ya miji yetu iko hovyo kuliko hapo walipoonyesha.

Dar unaita jiji wakati vinyesi vinatembea kati ya mji? Kuku wanawika kukuamsha! Jiji gani hilo takataka tu!

cc: Freeland
 
Last edited by a moderator:

Wacheni upuuzi kwani hiyo picha haitoki Dar Es Salaam! I mean sio ya mahali ambapo ni Dar? Hawa viongozi wezi ndipo walipotufikisha hapo wanakwapua pesa za walipa kodi na kujikimu wao binafsi na hakuna wa kuwawajibisha kwa sababu hao wanaoibiwa wanaishia kula kwa dola moja kwa siku. Kwanza wazungu wenyewe wala hawajihusishi na mambo ya walalahoi wanawaonea huruma kwa sababu wanafahamu jambazi kuu linalala Magogoni.

Kukata mzizi wa fitna na nyie wekeni picha za kwao ambazo ni hoi bin taabani mnashindwa nini?

Unaelewa nini mtu akikuambia busy street ya mji/jiji/nchi Fulani?
 
Sijakataa...iko dar es salaam....lakini wameiweka Tandale kwa makusudi ili kutukejeli....why wasiweke posta.....

Mkuu hao wazungu ni ma mbwiga wanafahamu fika kabisa ktk Africa, the second busiest area Ipo Tanzania nayo ni Kariakoo tena Hata journals zao huwa zinataja Congo na Msimbazi...
 
Wacheni upuuzi kwani hiyo picha haitoki Dar Es Salaam! I mean sio ya mahali ambapo ni Dar? Hawa viongozi wezi ndipo walipotufikisha hapo wanakwapua pesa za walipa kodi na kujikimu wao binafsi na hakuna wa kuwawajibisha kwa sababu hao wanaoibiwa wanaishia kula kwa dola moja kwa siku. Kwanza wazungu wenyewe wala hawajihusishi na mambo ya walalahoi wanawaonea huruma kwa sababu wanafahamu jambazi kuu linalala Magogoni.

Kukata mzizi wa fitna na nyie wekeni picha za kwao ambazo ni hoi bin taabani mnashindwa nini?
Hiyo busy street ya kwenu Rombo huko!
 
Sikumbuki ni Waziri gani wa ulaya alitukejeli "BONGO LAND"
 
Ungetuwekea gazeti la uingereza tungekuamini lakini unatuwekea the citizen halafu unataka tuamini uongo wako??? kwa taarifa yako waingereza wanawacheka wabunge wenu wanaofanya fujo bungeni na wanashangaa kama mtawarudisha tena bungeni.....amka wanyime kura Chadema ili majadiliano bungeni yafanyike kwa utulivu na kwa heshima ya chombo hicho bunge.

Teh teh teh nimetaka kukutukana nikakumbuka ban nisijepitwa na update za jf maana umeme haueleweki...
 
Mkuu kwa kweli sisi ambao ni wanachama wa chama tawala, chama kinatuweka njia panda.
Chama kinapocheka na nyani, hii inaudhi sana!!
Mkuu pole kama wewe siyo panya.Panya ale mazao ya binadamu halafu utegemee kuna panya mwenzake atamwajibisha?Una moyo sana.Hongera
 
Mkuu kwa kweli sisi ambao ni wanachama wa chama tawala, chama kinatuweka njia panda.
Chama kinapocheka na nyani, hii inaudhi sana!!

Mimi ni mwanachama wa CCM lakini nimegundua ilikuwa ni kosa kujiunga na chama hiki kwa sababu kwa assessment yangu binafsi najiona ufahamu wangu ni mkubwa sana kuliko wenzangu. Bado nafikiria tufanyeje ili kuwaondoa au kuondoa hili ambalo ni jambo la kihistoria.

Tangu TANU ilipoanzishwa wakoloni hawakutaka mfanyakazi wa serikali kujiunga na siasa. Bahati mbaya wafanyakazi wa serikali ndo waliokuwa 'wamesoma'. Hali hii ilifanya siasa za TANU ziendeshwe na wasiosoma isipokuwa waliojitoa muhanga kama Nyerere na baadaye akina Kambona. wengine woooote walikuwa maamuma tu!!!!!!!

Sasa iangalie CCM yetu. Kibaya zaidi hata wale wenye vyeti hadi vya Chuo kikuu ni wale ambao elimu haikuwajenga ubongo kabisa!! yaani wakizungumza utadhani form two anayehangaika na mitihani ya QT!

Mimi nahama! Nahama kabisa! Hata kama Mbowe ni div 0 lakini akiongea utadhani ni Masters was Political Science. Huko CCM tunaye Sendeka na div 0 yake lakini points murua kabisa!
 
Mkuu wzungu hasa waandishi wa habari wao wakitaka kukujengea dharau kwao , hivyo ndivyo wanavyowaambia watu wao.
Hapo wameonyesha kuwa watu wenyewe masikini sana, hiyo "busy street" ndiyo level yao ya maendeleo, halafu ndo viongozi wanajikwapulia hiyo Bilioni 321.

. The
country is one of Africa’s biggest per-capita aid
recipients, with 29% of its annual budget coming
from overseas development assistance,
according to the PAC.
 
MP Joshua Nassari said Tanesco often cuts
electricity when sensitive issues are being
debated in parliament in an effort to deny the
public an opportunity to monitor their
government....pamoja na mheshimiwa Nassari kuliona hili bado wakubwa hawa wamerudia the same mistake,Jana sehemu kubwa ya nchi hii wakati wa jioni umeme ulikatwa in what i can say for no reason.
 
Achana na wazungu....sisi tuwashughulikie wezi wa mali zetu...TUJITEGEMEE kushughulikia matatizo yetu.
Pamoja na kwamba ni muhimu kujua kuwa wengine wanakufikiria vipi kudunia, hili tatizo la kwetu ni letu, tumelilea na ni sisi tu tunaoweza kulitatua.
 
Back
Top Bottom