Tuwe makini na wanachama wanaohamia CHADEMA kutoka CCM

Tuwe makini na wanachama wanaohamia CHADEMA kutoka CCM

Sisi chadema hatuna pandikizi lolote huko ccm maana sisi tunatumia nguvu ya umma wakati nyie mnatuma mapandikizi kibao cdm lakini bado mnaiba kura na kupora ushindi
 
Kama kauli ya yule mh imenisikitisha sana eti tuwe watulivu tuliachie jeshi la polisi lifanye uchunguzi. Toka lini kawa na imani na hili jeshi?
 
Watu kama hao hawakosekani pande zote mbili iwe ndani ya chama tawala chenyewe,serekalini na kwenye vyama pinzani,unafikiri zile nyundo ambazo wapinzani huwa wanazitumia kuiogonga serekali za utosini huwa wanazipataje?.
 
Tundu Lissu amekuwa na nia ya dhat ya kupambana na Serikali ya CCM na madudu yake. Lakini hajafaham kuwa ndani ya Chadema kuna watu ambao ni viongoz wamewekwa kimkakati kwa ajil ya kutoa siri za chama kuwapa CCM.

Tundu Lissu amekuwa akimwamini kila mtu. Na hili ni tatizo kwa watu wa aina ya Lissu. Hudhan kila anayekula na kucheka naye ni mwema.

Akikaa afikirie ajiulize kwa nini kila anachofanya serikali inafaham one step ahead? Kila anapotaka kwenda kwa nini serikal inakuwa na informations?

Kuna watu ambao wamekuwa wakipandikizwa vyama vya upinzani na ccm. Wakifadhiliwa na kuandaliwa kwa umaridadi ili waonekane ni wapinzani lakini lengo kubwa ni kuharibu chama. Mifano ipo ya akina shonza na wenzie.si hao tu wapo pia watu wazima ambao wameingizwa cdm kwa malengo maalum.

Kama ambavyo akina Lipumba waliingizwa CUF na kipindi hicho tunawaambia watu kuwa Lipumba anatumika ikiwa na yeye mwenyewe kukiri kumsaidia kikwete watu hawakuelewa.

Ndani ya CHADEMA kuna viongoz waandamizi ambao wapo wakifanya kazi kwa maslah ya CCM. na ni watu ambao hata tukiweka majina hamtaamini.ila ukweli utakuja fahamika.

Kuna watu ambao lissu anawaamini sana. Lakini ni ccm walio chadema kwa malengo maalum. Namshauri atokapo awe makini sana.
kwa taarifa yako Lisu hafanyi mambo kwa siri kama unavyofikiria yeye mambo yake yote anayafanya adharani kwa kuwa hayana ubaya kwa Taifa nyinyi ndio mnatabia ya kufanya mambo kwa siri kwa sababu ni kinyume na wananchi
 
Hujui maana ya neno bayana. Ungejua usingelitumia hilo neno. Pili hujui hata unachokisema.

kwa taarifa yako Lisu hafanyi mambo kwa siri kama unavyofikiria yeye mambo yake yote anayafanya adharani kwa kuwa hayana ubaya kwa Taifa nyinyi ndio mnatabia ya kufanya mambo kwa siri kwa sababu ni kinyume na wananchi
 
Huyu ndiye Masha ambaye watu walitoka mapovu kumtetea kuhusu ubunge wa EALA. Upinzani tusipobadilika tutaendelea kubaki wapinzani siku zote. We must be speculative kabla hatujaamini mtu. Ni ajabu kwamba Masha aliaminiwa hadi na viongozi wakubwa wa chama na wakamtetea kwa nguvu zote. Tukiendelea kuamini kwamba kila anayetoka CCM ni asset hatutafika popote. Others are liability. Natamani kuona upinzani unaogroom watu wake wenyewe, na inajivunia kutengeneza viongozi wake. Wapo watu wengi wenye uwezo ndani ya upinzani, hawa ndio wanapaswa kupewa kipaumbele. Sio mtu akitoka CCM mnamtukuza na kupuuza waliokulia ndani ya chama wakivumilia magumu mengi. Kuondoka kwa Masha kuwe funzo kwa Chadema na vyama vingine vya upinzani. Tujisahihishe.!
 
I fully concur! Tena naanza kuwa na wasiwasi kuwa hata FTS, LN na ENL wako mbioni kurejea nyumbani kwao! I hope hao waliosalia ni genuine!
 
Alafu wanatabia mbaya ya kumshobokea mtu aliyehamia kwao toka ccm.....hata sasa muda c mrefu utasikia Nyalandu kawa kamanda sijui wa ujinga gani huko Singida na pia mjumbe wa kamati kuu!
Hawajifunzi kabisa, Masha alipewa nafasi kugombea ubunge wa EALA wakati kuna wanachadema kindakindaki walistahili zaidi kuliko huyo wakuja!
 
Kweli kabisa,wanachota maarifa na siri za upinzani. Kwa wengine chama ni sawa na kabila kuhama kimoja kwa moja ni ngumu mno.
 
Nyalandu keshaanza kutetewa bungeni na makamamda kwa kile alichofanya wakati akiwa waziri
Alafu wanatabia mbaya ya kumshobokea mtu aliyehamia kwao toka ccm.....hata sasa muda c mrefu utasikia Nyalandu kawa kamanda sijui wa ujinga gani huko Singida na pia mjumbe wa kamati kuu!
Hawajifunzi kabisa, Masha alipewa nafasi kugombea ubunge wa EALA wakati kuna wanachadema kindakindaki walistahili zaidi kuliko huyo wakuja!
 
Nashauri tuwaamini vijana wetu tuliowapika Kama kina mnyika, Kama akija mtu mpya kutoka ccm basi wasipewe nafasi mpaka ipite miaka mitano toka kujiunga
 
Back
Top Bottom