Recent content by mbeyakwetu

  1. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mdau wa JF kuomba msaada Mgonjwa wake afanyiwe upasuaji, MOI yatoa ufafanuzi na maelekezo

    Na hapo mgonjwa anaweza ambiwa kibali kinatolewa kw mgongwa wa dharula Yaan siasa nyingi sana
  2. mbeyakwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika

    Kila heri mkuu utapata wa kukufaa
  3. mbeyakwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Mume uko wapi sasa au ndo nishachelewa
  4. mbeyakwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

    Hahahahahahah mke wake na msamaha anaomba yeye Tena
  5. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

    hahahahahaha kwelii Tanzania nchi yangu naipenda .Mama anataka waonyeshe hata tulio nyumban kuwa tumehudhuria mkutano wake🤣🤣🤣🤣
  6. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    siyo mimi ni mtaa wote
  7. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    HIV kwa nn kusiwe na mdau mwingine yaan mbadala was Tanesco maan pekeyake anachoka Sana na anashindwa kutoa huduma kwa ufasaha Kama huku Mbeya mtaa was ituha tunashida bila umeme na kulala Giza bila taarifa zozote
  8. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naishi mbeya maeneo ya ituha umeme unasumbua yaan unakata usiku na mchana tunaomba msaada wenu bas 0625734595
  9. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini wafanyabiashara wa mafuta wana nguvu sana

    ndo hatuna cha kufanya box nalo halisaidii kitu hii ndo Tanzania yetu
  10. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Ishi Kama penseli ili uwe mtu bora

    ni kauli nyepesi zenye ujumbe mzito asante nimejifunza kitu
  11. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu iwasaidie wazazi katika hili waache kuibiwa

    mkuu kweli mtoto atumie fagio ,kwanja na jembe miaka minne na vibaki vizuri kweli.
  12. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

    R.I.P. shujaa wetu Hamza angekuwepo angeuwa wengi zaid kufikia leo
  13. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Huu wizi!

    kitu haiwezekani ili hela itolewe kwa wakala lazima watu wa mtandao wapige simu.
  14. mbeyakwetu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Nimepima sina mimba ila sioni siku zangu

    kapime tu ila hiyo imo ndani
Back
Top Bottom