Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

Polisi wa doria kutoka wilaya ya mwanga,juzi wamemshushia kipigo cha haja mfanyabiashara ,Emmanuel Linus Temu anayeishi kitongoji cha Kilema darajani katika Mji mdogo wa Himo baada ya juhudi zao za kutaka wapewe mshiko wa milioni moja ili waachie bidhaa za mfanyabiashara huyo walizozikamata kugonga mwamba.

Temu kama anvyoonekana hapo chini,aliumizwa vibaya kwenye paji lake la uso na kushonwa nyuzi tatu katika Hospital ya Faraja iliyopo katika Mji Mdogo wa Himo na kuruhusiwa kurejea nyumbani.

Akisimulia mkasa huo juzi nyumbani kwake,Temu amedai kuwa siku hiyo ya tukio akiwa anatoka soko la Himo kuelekea nyumbani kupitia njia ya Marangu chini alipofika eneo la kilema chini alizingirwa na askari wanane waliokuwa kpikipiki nne za kiraia na kuulizwa alichokuwa amebeba na aliwajibu alichokuwa amebeba ikiwamo mafuta ya kula,sukari.

Katika msuguano huo,anadai askari sita waliondoka na pikipiki zao tatu na kubaki askari wawili wakiwa kwenye pkipiki moja ambao walimtaka awapatie mshiko wa Milioni moja ili wamwachie mali zake jambo ambalo aligoma kulitekeleza na kisha kuondoka lakini anadai asakri hao walianza kumfukuzia kwa nyuma hadi kitongoji cha Mbetela kata ya Kahe Mashariki wilaya ya Moshi vijijni ambako walianzisha purukushani na askari hao wakaanza kumshushia kipigo cha haja.

Anasimulia kuwa,askari hao walifyatua risasi hewani kuwatawanya wananchi waliojitokeza kumpa msaada akiwamo mwenyekiti wa kitongoji hivyo Levery Mfinanga ambako askari hao katika kipigo hicho walimvua nguo zote na kusitiliwa na wananchi waliojitokeza kumpa msaada na kumwokoa na kifo.

Wananchi hao walimwokoa mfanyabiashara huyo na kumwondoa eneo la tukio na askri hao wakondoka na mali za mfanyabiahara huyo zenye thamanai ya sh,623,000 pamoja na pikipiki yake huku akidai askari hao pia waliondoka na simu yake pamoja na pesa taslimu milioni moja zilizokuwa kwenye nguo zake walizoondoka nazo askari hao baada ya kumvua.

Kwenye picha temu anaonekana akiwa amejifunga kanga kiuononi baada ya kusitiliwa na wananchi huku damu zikimtoka kwneye paji lake la uso.

Kumekuwepo na msuguano wa mara kwa mara kati ya wafganyabiahara wa Himo na asakri wa Mwanga ambao wamekuwa wakishika doria karibu na mpaka wa Tanzania na kenya eneo la Kitobo kuvizia wanoingiza bidhaa za magendo kiasi cha kusababisha uvunjifu wa amani.

Pamoja na hayo,hivi karinbu askari hao wa mwanga waliriripotiwa kuchapana risasi na kusabaisha kifo cha askari mwenzao katika tukio linalodaiwa kuwa lilikuwa ni la kugombea pesa za madawa ya kulevya aina ya milungi ambayo yamekuwa yakiingizwa nchini kila uchao kutokana nchini kenya ambako kwa sheria za nchi hiyo si sehemu ya madawa ya kulevya bali ni mpoja ya zao linaloliingia fedha za kigeni nchi hiyo kwai huuzwa katika nchi za ulaya.

kwa hapa nchini milungi imo kwenye kundi la madawa ya kulevya na kwa sheria ya sasa mtu anayepatikana na hatia ya kusafrisha madawa hayo adhabu yake ni kifungo cha maisha jela.

View attachment 1975046
Hiyo hiyo juzi usiku askari wawili walipata ajali barabara ya Himo Mwanga wakiwa na pikipiki. mmoja alivunjika mfupa wa paja na leo hii anafanyiwa opereseheni ya nyonga, wapuuzi sana hawa form four failure.
 
Mapendekezo:
1.Maslahi ya polisi yaboreshwe,haya yote wanayofanya chanzo ni njaa,serikali inafumbia macho maslahi ya polisi taabu tunapata sisi raia wema.

2.Jeshi la polisi lifanyiwe mageuzi.
Maslai yako sawa, tatizo jeshi linatumika kisiasa ndio madhara yake haya.
 
Attachments

  • IMG_0470.MP4
    13 MB
Mapendekezo:
1.Maslahi ya polisi yaboreshwe,haya yote wanayofanya chanzo ni njaa,serikali inafumbia macho maslahi ya polisi taabu tunapata sisi raia wema.

2.Jeshi la polisi lifanyiwe mageuzi.
Hakuna cha Mslahi wala nini, hawa washazoea kukochukulia hatua mkononi bila kufuata miongozo yao ya Kazi,PGO,. Mfano mzuri wakina Mahita na Kingai wana njaa gani mpaka wachukue hela za wakina Lingwaya bila kuziandikia kwenye Register?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mageuzi yapi ndugu. Wewe umeona wanaoajiriwa wawe na elimu gani na pia ulimsikia waziri wao. Unaona ni akili za kubadilika. Kazi ina laanaa.
Uchawi unaanziaga kwenye vitendo kama hivi. Unaloga hadi kizazi chake cha kumi na wote watakaokula hiyo hela
DADEK!¡!!!!!
 
Mimi nawakubali sana Wapemba wanajua kudili sana na dhuluma za hawa Mumiani Polisi wa Bongo. Kuna Mpemba mmoja alikuwa mfanyabiashara wa Samaki wabichi anawatoa feri na pick anaenda kuwauza Mbagala. Kuna Siku moja asubuhi wakati anatoka Ferry maeneo ya Chang'ombe Traffic wakakamata ile pick up wakaunda zengwe pale ili ionekane na kosa,Mpemba akawaambia naomba mniandikie faini nilipe niwaishe mzigo kabla haujaharibika. Trafiki akamwambia usinipangie Kazi yangu,trafiki wakaandika faini kubwa sana ni kipindi kile kabla ya hizi machine zao. Dereva akamwambia nipe risiti naacha leseni yangu napeleka mzigo narudi.

Trafiki akamwambia gari haitoki bila kulipa fine,gari ikapelekwa Chang'ombe Polisi,Mpemba aliomba sana hadi machozi lakini jamaa wakakomaa. Alichofanya Mpemba awaambia basi Mimi nawaachi hao Samaki mkitaka kuleni,akamwambia Dereva tuondoke wakaondoka,baada ya siku tatu dereva akapeleka hela yao,lakini haikupita wiki yule Trafiki wakati anarudi nyumbani kwake akaangukiwa na mti akafariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom