Recent content by Mbeba Maono1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Rais aliniteua hadharani, nami barua yangu nimeiweka hadharani

    Na baada ya kuteuliwa ubalozi alisomeshwa kwanza kwenye chuo cha diplomasia, ajabu hakutuambia alifunzwa nini hapo chuoni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watakaoishia la Sita na watakaomaliza la saba mwaka huo huo watatosha form one?

    Kwa sasa, shule nyingi madarasa yako tupu (kasoro chache za mijini).
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sikumbuki ndoto

    Huyo mke wako atakuwa na walakini. Kiufupi, kama kabla hujamuoa ulikuwa unaota ndoto na ukiamka unazikumbuka, basi tatizo la kusahaulishwa ndoto utakuwa unalo chumbani kwako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Utalii yafikia Trilioni 9. Waliobeza "Royal Tour " wamuombe radhi Rais Samia, amekuwa ni Game Changer wa Uchumi wa Tanzania

    8,800,000,000,000/2100000=4,190,476.1904 Tsh Ndiyo kipato alicholeta kila mtalii.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usiri ni nguzo ya mafanikio

    Mathayo 10:36 [36]na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake. And a man's foes shall be they of his own household.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

    Tosa Boys
  7. M

    JamiiForums Tanzania Si kila mtu wa kusaidia, si kila mtu wa kukopesha

    Hilo kufuli hilo. Inabidi uelezee namna mtu anatumia kufuli kufunga riziki ya mtu.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ndo maana Hersi anatuona kama sisi sote wala Mihogo

    Naona kimada umetoswa, hivyo umeamua kuja JF kumsagia kunguni X buzi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo, jeshi na computer yawe masomo ya lazima

    Sasa hisabati ilikuwa inamshinda, kila siku akijitahidi alikuws anapata 0.5%, unategemea apendekeze hisabati libaki?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally,ndiyo muhasisi wa siasa za kupita bila kupingwa

    Uchaguzi wa mwaka 2010, wabunge si chini ya 42 wa CCM walipita bila kupingwa majimboni mwao. Fuatilia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

    Fikiria bunge la nchi yetu, wabunge theluthi 2 watoke Chadema na theluthi Moja watoke Ccm na ccm ndiyo iwe imetoa Rais, patamu hapo.
Back
Top Bottom