Tstizo kiti chs mkuu was mkoa unakikalia lakini huna imani nacho muda wowote unaweza kutumbuliwa kwa nini wasiende kwenye ubunge ili waishi kwa furaha muda wote
Kama ni hivyo mbona waalimu waalimu wa shule binafsi walikua hawalipwi mishahara yao hali iliyopelekea moaka bunge likaingilia kati kuitaka serikali iwasaidie walimu hao ili wapate pesa ya kujikimu ?? Kwa mm binafsi ninhekua na mtoto anasoma hizo shule binafsi nisingelipa na tungepelekana popote...
Hongera sana kwa hoja nzuri ni kweli lisipoangaliwa hili itakuwa kama ile mikataba ya wakati ule ea alina MANGUNGO wa msovero ni kweli kabisa maana wabunge ndio watunga sheria na wasimamizi wa shughuli za serikali inakuaje wawe na elu ya std seven
Kijana kua makini Sana usipende kazi hizo katika vitengo vya usalama polisi mean and she magereza nk utaishi roho juu ni kazi gani hiyo ya kufanya hata mkeo asiijue
Ndio maana unajiita kmbwembwe maana inainekana unaingea tu ila hujui ulisemalo eti LISSU aombe msamaha aombe msamaha kwa kushambuliwa na risasi halafu hadi Leo hajakamatwa mtu yoyote alieusika na shambulio huo ni ujinga hata kama ndio mnaamua kujipendekeza sio kwa staili hiyo
Mtoa umejitahidi kueleza ila maelezo yako Kama naona yanaongozwa na hisia za kupenda chama kilichopo madarakani
Binafsi sioni kama CHADEMA kinakashfu uongizi ila mara nyingi ukweli ndio unauma tatizo uongozi uliopo madarakani hautaki kuekezwa ukweli na hasa katika kipindi hiki cha kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.