Recent content by Mbatumwenyeji

  1. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Meli ya Israel yatekwa Yemen

    du tunaomba tuepushe na hili maana hatujuwi hata.
  2. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Kushirikiana Katika Eneo la Ufadhili wa Michezo

    Kama watakuwa makini itawezekana lakini wapo watakan haribu. Maana wanasema penye liziki pana fitina.
  3. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwasilisha Ombi CAF Matangazo ya Kiswahili

    Kweli nasi tutakuwa na uhakika wa kupata matangazo hayo kwa uhakika maana huku kwetu kingereza kama mkwe.
  4. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Binadamu hawezi kujuwa lila jambo la mungu na ujuwe hapo mungu aliona yafaa apewe mke na akapewa tusome vitabu tutajuwa tu.
  5. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Hakika onana ni mashine haswaa scouting ilifanya kazi yake

    Jamani tubadilike maana hii kauli ya kufa kiume nimechoka. Mabingwa wa kushiriki aka mwaka robo yaani yao robo,
  6. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    kimeumana huko?
  7. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Tatizo kwenye intaneti wabovu huwa inazunguka mpaka kizunguzungu halafu fasta utasikha nngeza bando hapo ndipo pabaya.
  8. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo Robertinho anaweza okota mbinu za kupiga Al Ahly

    Simba siyo wamejitoa kwenye derby bali waoajuwa kuwa wao ni mabingwa wa kushiriki na siyo washindani, hivyo msijikweze sana. Ila natamani sana mkampige muarabu kwao maana siwapendi hawa hata wakicheza na jiwe basi nitashangillia jiwe. Ila simba mnanyodo sana mtaani hatukai hatakama kwakutokujuwa...
  9. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Tai hapigani na nyoka ardhini

    AMINA
  10. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hakika hawa ni warembo. Sura mpaka mavazi wanavutia nakubali ni warembo bg up kwao good vizuri.
  11. Mbatumwenyeji

    JamiiForums Tanzania Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Jamani kunamambo ya kuiga unapo sema viwango vya fifa au simba, yanga na wengine ni wanamichezo hao. Pia kwa safari zao hutumia mabasi hayohayo na anaetumia basi siyo maskini labda siewi maskini ni mtu wa aina gani. Kama huwa unasafiri kwa ndege sawa lakini usimbeye wa basi na kusema masikini.
Back
Top Bottom