Recent content by Mbasembase1970

  1. Mbasembase1970

    Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

    Umewasahau Kabudi na Bashiru Kakuru
  2. Mbasembase1970

    Maoni yangu Binafsi kuhusu Ndugu Polepole

    Chawa huyo yupo kazini
  3. Mbasembase1970

    Mali za mtoto wa Rais, Abdul Hassan zimeandikwa kwa Majina ya China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania

    Alikua anashinda Kitambaa cheupe cha wakati huo kinaitwa Mbowe Club ama Magoti
  4. Mbasembase1970

    Kiki za Konde Boy si mchezo

    Mrejesho wa Hamornize kupiga O2. Mwaka 2022 alipiga kwenye Bar moja maeneo ya Bletchley Milton Keynes. Kwa waliokua wananibishia naona sasa mmejua mshindi ni nani
  5. Mbasembase1970

    Kwanini Wanafunzi Wanaosoma Shule za Masista Wanawaona Masista Kama Makatili Sana Wasiofaa

    Naungana na wewe mimi nilisoma katika shule hizo pia. Form 1 tulianza 39 form 4 tulimaliza 19. Form six tulimaliza 7. Kama mfanya utafiti alikutana na watu kati ya ishirini walioishia njiani basi utapata negative response.
  6. Mbasembase1970

    Ilikuwa mwaka 1981

    Kaeibu na kwa Kijana wa siku nyingi na mzee Gama
  7. Mbasembase1970

    Mayalla Paschal bado unaamini kuwa Paulo Makonda bado ni Presidential material?

    Umeona anavyomtetea msukuma mwenzake. Jamaa hasafishiki kabisa. Alitumia madaraka yake madogo vibaya sana fikiria kama angekua rais
  8. Mbasembase1970

    Mbunge: Mimi niko bungeni muda mrefu lakini nakaa viti vya nyuma askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha kuangaliana na Spika!

    Hata mimi nafikiria hivyo maana ma veteran ndiyo hukaa nyuma na si mbele. Lile lilikua dongo na si malalamiko
  9. Mbasembase1970

    Mbunge: Mimi niko bungeni muda mrefu lakini nakaa viti vya nyuma askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha kuangaliana na Spika!

    Kama kuna mbunge kasema hivyo basi ama ni mjinga au hajui nini maana ya back Bencher. Wabunge wanaokaaga nyuma ni ma veteran na wanakuaga hawachagui kama wapo upinzani ama la inakuaga lazima kuwa treat with care kwenye mabunge ya maana
  10. Mbasembase1970

    A salary may stop tomorrow

    A SALARY MAY STOP TOMORROW. Robert Mugabe's Said. "When your salary comes in time, you eat chicken. As the salary reduces you eat products of Chicken (Eggs) and subsequently, you begin to eat chicken's foods like maize and millet. Finally, when salary is finished, you become chicken...
  11. Mbasembase1970

    Fahamu asili ya jina la Kitimoto

    Ndiye huyuhuyu likua Produced na Masai studio na kurushwa na DTV baadae ITV wakaanzisha Malumbano ya Hoja mtangazaji marehemu Adam Lusekelo nanJulius Nyaisanga nadhani
  12. Mbasembase1970

    Tanzanian Officials are Airlifted to Kenya for treatment

    Mungu oyeeeee walisema. Ukiona nchi inachanganya siasa na dini ujue mambo yamewashinda. Wanatumia dini ku gain cheap popularity sababu dini ni kitu cha kwanza kuondoa ama kupumbaza akili za mwanadamu. Kama mtu anarubuniwa na kutoa fungu la kumi kwa mtu ambaye hajawahi kumuona ujue kitu chochote...
  13. Mbasembase1970

    GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Ulichokiandika una uhakika nacho? Trump kesi yake ipo senate na lazima safari atapatikana na hatia. Halafu Attorney General wa DC anamchunguza kuhusu kesi nyingi na hiyo ya uchochezi sasa ihvi muda usiozidi saa moja na nusu atakua raia wa kawaida subiri utitiri wa kesi
  14. Mbasembase1970

    GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    https://www-newsy-com.cdn.ampproject.org/v/s/www.newsy.com/amp/stories/mike-pompeo-s-wife-accused-of-misusing-taxpayer-resources/?amp_js_v=a6&amp_gsa=1&usqp=mq331AQHKAFQArABIA%3D%3D#aoh=16111563942347&referrer=https%3A%2F%2Fwww.google.com&amp_tf=From%20%251%24s&ampshare=https%3A%2F%2Fwww.newsy.co...
Back
Top Bottom