Recent content by mbasa2014

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujaapisha viongozi Migombani

    sheria ya uchaguzi kanuni no 40.0 inatoamaelelkezo ya kuapishwa na wakili au hakimu mbele ya hadhara ya wananchi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    hongera kakobe
  3. M

    JamiiForums Tanzania CC ya CCM haikuwa na jipya

    na kura za maoni wataweka mapingamizi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nia ya ubunge CHADEMA

    kuuliza habari za chadema jf ndo ofici za chadema nini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba na Salum Mwalimu naibu katibu mkuu CHADEMA live EATV

    kigoma kask.chadema imechukua vijiji vya msimba,kasuku,nyangova,bigere,kizenga,nyamhoza,kalinzi A&B,mkabogoA&B matyazo nyarubandaA&B mkigo naomba wanaojua ACT wamechukua vijiji vingapi nielezeni mimi naishi huku siyo hivyo vitongoji vya kijiji cha mwandiga,kiganza,na na kibingo na sisi tutaje...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

    bora ya hao ambao hawakusoma kbs manake hawaelewi lolote kuliko unaeelewa elimu ni ukombozi alafu aliye soma anaitwa dr.prof. leo wanaiba mabilion kusoma kunataswira gani kwako si heli ya wasio soma hawaibi cha mtu wanaangaika na maisha yao tu yakiwa magumu sana wanajinyonga
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kafulila walibezwa na kudhallilishwa je waliowadhalilisha leo wanajisikiaje?

    sikumbuki nilini kafulila alifukuzwa chadema ninachokumbuka alibadilishwa kurugenzi na kupewa kurugenzi ya vijana akaikataa na ZZK amevuliwa nyazifa za uongozi ndani ya chama na kikao cha kwanini asivuliwe uanachama alikizuia mahakamani kumbe ameshafukuzwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

    watu wa kigoma ni kawaida yao historia hii hapa:mwaka1962 shehe Amri abed karuta aliwahi kufukuzwa uwaziri na nyerere 1996 mpologomi alifukuzwa unaib waziri wa fedha mbwiliza alifukuzwa ukuu wa mkoa wa kilimanjaro daniel nsazugwanko akarubuniwa na maccm kifu gulam hussen katimkia ccm kufata ukuu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awabeza UKAWA na kuwaita "Wasaka Tonge"

    karuta,mbwiliza,mpologomi,nsazugwanko,kifu,kaburu,kafulila,zzk wote hawa wa kgm rejea historia zao ni kitu kimoja wanafiki sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awabeza UKAWA na kuwaita "Wasaka Tonge"

    ninge shangaa kama angeanza nape kuwasema ukawa na bado kwani bei ya mpunga wameshusha ukawa bado tukae bila mipango tungoje mpunga upande bei pole watu wa kgm mko hivyo wasaliti
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyota katika bendera ya ACT-Tanzania na dhana inayojengwa

    nawafaham hawa jjamaa niwachumia tumbo tu hawa hos wao sasa ameingia nuksi anadaiwa na watu 2 million 568,756000 yuko hoi kifedha haya maccm ndo yamekubaliana wiki mbili yampe pesa za bmk kama m.227 000 kama ni uwongo akanushe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wakamatwa katika mikutano ya CHADEMA

    sawa kamanda we noma mawazo noma geita noma
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

    shida ya nchi yetu ni ukoloni tumeona hata police wetu wanapimwa urefu baada ya kupimwa akili kama zilifyatuka kwa bahati mbaya inaku.waje na ya mtoto
Back
Top Bottom