Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Tayari ushatangaza nia. Vipi ushaandaa waganga wa jadi?
taratibu jamani
tayari ushatangaza nia. Vipi ushaandaa waganga wa jadi?
hilohilo mkuungoja nikupe njia.unataka kugombea jimbo gani mkuu
hilohilo mkuu
Tondoli kagombee kupitia magamba aka chama cha mapingamizi, mafisadi, escrow, malori, wachawi, wafitini, wambea, waongo....na wasaka tonge, wezi wa kura.
Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni
candy wenye chama watakumeza
hahahahaaaaaa kweli mkuu umenichoka,sawa banatondoli kagombee kupitia magamba aka chama cha mapingamizi, mafisadi, escrow, malori, wachawi, wafitini, wambea, waongo....na wasaka tonge, wezi wa kura.
hahahahaaaaaa kweli mkuu umenichoka,sawa bana
kwani mkuu tondoli wewe uko chama gani?
mambo ya kutangaza nia siyo sera ya chadema
soma post yangu hapo juu
Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni
Ina maana 2016 kuna uchaguzi mwingine kwasababu umesema mwakaniKaka ulikua wajenga chama usichokiju taratibu zake...hakuna uchaguzi utakaokua na vituko kama wa mwakani
MM SIJANZA KUJENGA CHAMA LEO,mafanikio unayoyaona yana mchango wangu mkubwa ila kwa bahati mbaya sina kiherehere cha watu kunijua, mm ni mtu wa matendo. Na kuuliza c ujinga