wa TANZANIA NI MAITI ZINAZO TEMBEA
Hakuna atake weza kuhoji na hata yule anae jitokeza kuhoji hakuna anae muunga mkono, Nawaonea huruma sana kina Lissu wana pambania watu wasio elewa, itachukua muda sana Tanzania kuamka katika usingizi.
Huna sababu ya kuhudumia mwanamke asie kuwa mke wako, Dada poa wapo kibao kama ni Genye kamalize huko, pia ukiona mwanamke ana kuomba hela sana jua hapo hakuna upendo kimbia hara eneo hilo kabla mambo haya jawa makubwa.
Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
Nchi za afrika Tume laaniwa kilakitu tunacho ila Viongozi wetu hawana ule uzalendo wa kweli, wao ni maneno matam tu ila kiutendaji ni sifuri, Nasisi WANA NCHI tume lala usingizi wa pono tukiamka tunatia kaunafki kidogo tuna lala tena Ee Mungu tusaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.