Recent content by mbari sa menya

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hapa Mbuyuni-Salasala, Dar kuna baa mpya inakera kwa kelele mpaka usiku wa manane

    Pole mkuu, tafuteni no ya RC Chalamila, kama aliweza kuwafungia TIPS Mikocheni, hao ni vifaranga tu, TIPS ya watoto wa kishua walikuwa wanakula mayi hadi asubuhi, ukipita sasa hivi kimyaaa sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Licha ya kuambiwa itakuja El Nino bado wanaharakati wanataka kuharibu tena miundombinu October 29

    Umejibu hivi kwa vile nyie mwajuana, si ajabu mlicheza wote Enzi hizo,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

    Poleni sana, Kama taarifa hizi ni za kweli, basi huko tunakoelekea ni Kobaya sana, Hivi inakuajje askari unapewa amri ya kumfanyia ukatili mwenzako kiasi hicho, au hata raia tu, Hao wanakutuma ipo siku nawe pia yatakukuta kama hayo,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Mkuu mambo yamebadilika sana, Kuna watu wamejimilikisha uhai wa wenzao, Wakiamua Nyani Ngabu apotee unapotea na hamna anaejali, kifupi bado kitambo kidogo tu kunakucha,
  5. M

    JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Dogo unatubagua mimi na mzee mwengau Paskali Mayala? Humu ni kwa wote,post
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

    Nenda kwa Mwamposa ukapegie Yeso makofe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Umewekewa Mtego

    Washenzi sana, njaa mbaya sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Umewekewa Mtego

    Vile vibanda vilitwa ni vya YERIKO NYERERE, shahidi anawekwa kwenye kibanda kama mbwa,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiislam

    Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kikatiba CDF mstaafu, IGP mstaafu na DGIS mstaafu Wanaweza kugombea uRais wa JMT au Zanzibar?

    Ngoja waje kukupa jibu mkuu, Nambuka Mzee Mahita alitaka ubunge Moro kupitia CCM, lakini kura za maoni hazikutosha,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Ikulu ni Mahali Patakatifu

    Kwa hiyo Mwl Nyerere alihama ikulu mahali patakatifu, Akaishi Msasani na jirani zake wamakonde, Hii inafkirisha sana, Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    Nimeshangaa, wanajisahau kuwa wanatumia I'd za kiume Anaweza kuwa ndie mwenyekiti wa UWT Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: RC Chalamila acha ubabe mdogo wangu Serikali si yako ni yetu sote!

    Si wa kwenye Iringa, jazba na hasira kwa wanyalu ni kawaida sana, Unakumbuka kilichompata Dr Kleruu Rip Mzee Mwamwindi, Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Yanayojiri kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na BAWACHA

    @Mshana Jr ni wa Mtaa wa Ufipa, usimwamini sana, atakuchuuza ufe siku si zako, Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Yanayojiri kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na BAWACHA

    Unatafuta kulogwa, unawalinganisha kina Zito Kabwela na BAWACHA, Mtake radhi upesi, kabla hajaenda Kigoma kwenye ile nyumba yake iliyoungua moto, Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom