Nyerere: Ikulu ni Mahali Patakatifu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145

Nyerere kwa kuamini Ikulu ni Mahali Patakatifu alilazimika Kuishi Msasani

Je, ni kweli Ikulu ni Mahali Patakatifu kama ilivyo Kanisani au Msikitini?

Ramadan Kareem 😄
 
Ramadan Kareem
Tumia akili kuuliza Acha kuuliza jibu Ikulu msikiti na kanisa ni sehemu Takatifu sio mapango ya kupiga dili kupanga kumpiga risasi Tundu lissu Kuwateka Mo na Roma kuvamia CLOUDS na Kuiba Fedha za Umma
 
Nyerere kwa kuamini Ikulu ni Mahali Patakatifu alilazimika Kuishi Msasani

Je, ni kweli Ikulu ni Mahali Patakatifu kama ilivyo Kanisani au Msikitini?

Ramadan Kareem I

Labda ikulu nyingine za huko Duniani but hii ya kwetu ni pango la "WANYANG'ANYI"
 
Back
Top Bottom