Nishapimwa na imegundulika sina ila nimekaa na hizo picha za wapenzi wangu huu ni mwaka wa 10+ na hakuna hata mmoja aliyewahi kuathirika kivyovyote licha ya wewe kutaka nipimwe akili.
Kuna kitu kinaitwa "Maridhiano" mkiridhiana kufanya upuuzi mwanzoni mwa mahusiano basi kila jambo lenu mtaliona ni sawa.
Sioni tatizo mtu kuwa na picha za utupu za mpenzi wake ila tatizo ni pale ambapo atashindwa kutambua faragha ya mpenzi wake na kuzianika nje nje.
Kwa jinsi nilivyoelewa Marais wengi wamekuwa na ziara ndani ya US ila waliopewa mwaliko wa kuzuru Ikulu ya White House siyo wote wanaotembelea Marekani.
Inabidi tufikie wakati tukubali zile zama kukunjana na wanawake kwa kutumia nguvu zimepita.
Ukiamua kupambana na mwanamke kinguvu basi utamuumiza na wewe kujiumiza.
Niliwahi kukutana na huyu Mzee Sumbawanga ni dereva Bajaj.
Wakati napata huduma ya usafiri wake alikuwa analalamika sana juu ya Ommy na kubwa zaidi akisema suala lake na mwanae limesababishwa na Mama yake Ommy.
Inaonekana wakati huyu mzee akiwa kijana hakuwa karibu na familia yake kihivyo...
Suala la Panya Road ni mavi yanayopakwa kwenye sare ya jeshi la polisi ama vyombo vya usalama na wao wamekubali harufu ya kinyesi hicho iliendelee kunuka miilini mwao.
Hivi kwa ufahamu wa kawaida unaanza vipi kuamini kuwa Jeshi la polisi limeshindwa kuthibiti matukio ya hawa wanaoitwa Panya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.