Hao walimu mnawaonea bure. Kwa nini mtoa mada usishauri miundombinu mf sehemu ya kuchomea taka ijengwe kama haipo au wanafunzi waelimishwe madhara utupaji horera ya ped iliyotumika.
Tujiulize pia kuwa, mwalimu afanye nini kama sehemu sahihi ya kuweka hizo ped chafu ipo na wanafunzi kwa makusudi...
Msikilize yeye anataka nini kisha anzia hapo. Watoto wa leo pasua kichwa, licha ya matokeo yake mazuri usije shangaa anataka aende kusoma stashahada kwenye vyuo vya kati huku wewe malengo yako ni kumpeleka kidato cha tano hatimaye chuo kikuu.
Cha msingi alenge kujiajiri baada ya masomo ili...
Gwaji boy ni kigeu geu, alishasema hawez hata kugombea Urais kwa kuwa uchungaj ni cheo kikubwa(cheo cha Mungu) lakin akaishia kwenye ubunge. Hata uthabiti wake unaouelezea utakuwa na walakin. Mchumia tumbo tu.
Amekurupuka, msamehe. Inawezekana uelewa wake umefikia kikomo kwa kuwa kijijin kwao watumishi wa umma waliopo ni walimu.
Pia hajui magumu waliyopitia watumishi wa umma kwa miaka 6 ya kunyimwa haki zao za kisheria huku usalama kazin ukiwa hatarini kutokana na vitisho na uhakiki usio na mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.