Recent content by Mbananai

  1. M

    Kwa wanaoelewa lugha hii tuu!!

    Tiifo kuchu mnama naare mbon tafo.
  2. M

    Waliosoma lyamungo

    Enzi ye2 form 2 ndo ilikuwaga inapiga kwenye dom kila baada ya prepo saa 4, viva Lyamungo viva Bureta,Marenge,Shoo,Kitalawa,Massawe,Mzuzu,Mota,Shirima,Kweka aka Mantisa,Kitalawe Nyela,Mtei,Uragee aka Lazaro,Kimaro,Kirumbuyo,Kimat,Mwanndisa na wenhine weengi.
  3. M

    Waliosoma lyamungo

    Daha lyamungo shule yetuu,mchepuo wa kilimoo,pamoja na fani nyinginee......kwa ufupi nimeangalia picha hz machozi yameni bubujika,2001@2004, tukutane hapa kwanguvu tufanye k2.
  4. M

    Demu wangu anataka kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Asifanye watu ni wajinga bwana,wee umesha kula umechoka ndo unaomba ushauri.
  5. M

    Madereva wa magari ya serikali wanauza mafuta ya wizi Sinza karibu na kituo cha daladala simu 2000

    Nyie ndo mnao shabikia wenzenu wakikosa vibarua,hata wakikamatwa huna utakacho faidi wewe mnafki tu tena Mungu akusamehe.
  6. M

    Madereva wa magari ya serikali wanauza mafuta ya wizi Sinza karibu na kituo cha daladala simu 2000

    Ungeenda kutoa taarifa sehem hucka cyo hapa weevp,so unafkiri watakula wapi na uhujumu uchumi ndo huo tu ulio uona?
  7. M

    Ufugaji wa Mbwa!

    Mimi nimtaalam wa mbwa nimepata na mafunzo msalum miez 6 na hapa nipo nao hata sahv hyo bznezz ni more profitable hata mfugaji wa ngombe awez kukugusa,for more info,,,tuwacliane.
  8. M

    Uhakiki wa Vyeti: Bandarini nako kwawaka moto

    Hv mpaka vyet vya mh Rais vta hakikiwa?
  9. M

    Rais Magufuli awaapisha kiapo cha uadilifu Makamishina/Manaibu waliopandishwa vyeo Ikulu

    Hotuba kiukweli nimeipenda,mambo ya polisi jamii cungi mkono kabisa,na yanafanya polisi kushindwa kufanya kazi yao kwa ufasaha especial kwenye kulaza wahalifu chini,pia imefka mahali polic wanashindwa kufanya kazi zao kwani raia wanakuwa sana na matisho kwao,haiwezekani watu wakasote depo miezi...
  10. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Yawezekana unakaa Dar unaishia kujivunia hilo,wakat kuna mwenzako wa Dar anakaa hata Njombe au Simiyu anatengeneza ela,bora kip.
  11. M

    Naomba maelezo ya Kisimiri High School

    Hapana ashuki momela kuna Basi zinaitwa Urio bus service,atapandia hapo mjin znaondokaga saa nane zingine saa tisa.
  12. M

    Naomba maelezo ya Kisimiri High School

    Yaan Kisimiri nishule ya ukweli na ipo juu sana,ilisha kuwa ya 3 kitaifa nadhan kat ya mwaka juzi kama ckosei,ila ipo ndani kabisa au nje ya mji,mdg wangu ndo yupo 4 m4 mwaka huu na anafanya vzr sana darasan ucogope kabisa miundo mbinu ya shule imetuli.
  13. M

    Tahadhari kwa BAVICHA kuelekea tarehe 23/07/2016

    Wandg mimi naomba wasiende Dodoma wata aibika bure kwn polisi hawana utanbkabisa,na pia police hawajatangaza hata cku 1 kwamba wameelemewa waombe,nguvu,pia ace kubalikushindwa cyo mshindani,tulisha shindwa uchaguzi tupige kazi na kujipanga 2020, nawasilisha.
Back
Top Bottom