Tahadhari kwa BAVICHA kuelekea tarehe 23/07/2016

Mimi Binafsi nimeshawasili Dodoma.
Niko nimefikia Hotel ya Kidia.
Natumia Gharama zangu kusaidiana na Jeshi letu la Polisi kuhakikisha Mikutano haramu ya vyama vya Siasa haifanyiki
 
Wazo zuri sana, ila kwenda Dodoma tar. 23 ni kama kuingia peponi. Ni faraja, raha, na fahari kusaidiana na jeshi letu pendwa kuwazuia CCM wasifanye mkutano wao tofauti na agizo la mkuu wa nchi. Nitakuwa Dodoma siku 5 kabla kuungana na makamanda kutoka kona zote za ncì.
haya umeandika hapa kufurahisha forum lakini tarehe hiyo hakuna kiumbe atakayekanyaga Dodoma
 
Wandg mimi naomba wasiende Dodoma wata aibika bure kwn polisi hawana utanbkabisa,na pia police hawajatangaza hata cku 1 kwamba wameelemewa waombe,nguvu,pia ace kubalikushindwa cyo mshindani,tulisha shindwa uchaguzi tupige kazi na kujipanga 2020, nawasilisha.
 
Nawaakikishia hakuna mjinga yeyote atakaye kanyaga pale, nawaambieni ukweli, July 23 , itapita kama ilivyopita July 12 ya mwaka jana mliosema chama kitapasuka, kuna ambao mmeshuhudia hata October 25 ikipita mkiwa nje ya mita 200, ikapita tarehe mliyosema kuwa hataapishwa , sembuse hii ana rungu kabisa, your Patella will be dislocated
 
ARUSHA TUMEJIANDIKISHA 2562 NA TUKO NA MABASI TUNATEGEMEA KUANZA SAFARI TAREHE 21 MABASI YAMEISHALIPIWA.

swissme
 
ubaya wa wanaukawa na chadema kwa ujumla,wengi wao sio wanachama bali ni wakuja na kuondoka watu wanaoenda na upepo,upepo ukielekea huku nao hukohuko wanafuata,ni tofauti sana na wanaccm wengi wao wanakadi na wanachama wanaojulikana na viongozi wao kwa kuwa wanashiriki shughuli mbalimbali za chama kama wanachama halali.
 
Kwa hiyo?
 
Waache wanaenda kujisaidia eneo lenye mamba

11078832_684626078313957_720476349_n.jpg
Una akili za kip..mb.avu na kilo.fa! Hiyo picha inatusaidia nini humu? Unajua hadhi na umri wa wutu waliomo humu? Under 18 mnatafuta nini humu? Kwanini sibaki Fb na Watsaap kule? Ujinga huu umenikera sana.
 
Napenda kuwashauri ndugu zangu BAVICHA, ni heri mara 100 muda na pesa watakazotumia huko Dodoma wangetumia kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao binafsi kwa katika hali hiyo lolote linaweza kutokea. Kumbukeni kuwa pamoja na watu wengine pia atakuwepo huko rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na marais wataafu. Kwa maana hiyo ni kwamba, nguvu zote za kiwango chochote zitatumika ili kulinda usalama wa watu hao muhimu. Pia wakumbuke kuwa kama watavunjwa miguu au mikono au lolote lile litakalotokea itakuwa ni hasara kwao au kwa yule atakayekuwa ameupata mkasa huo.
wacha waende wakaoneshwe rangi za kila aina.
 
Napenda kuwatahadharisha vijana wa BAVICHA wanaopenda kuenda Dodoma(kama kweli dhamira hiyo ipo) kuwa makini na vijana wanaoambatana nao na hata wale watakaowakuta hapa Dodoma.Epukeni kabisa kuambatana na vijana msiowafahamu vizuri au kubeba vijana mradi tu wako teyari kwenda nanyi Dodoma.Bora mkaenda wachache waaminufu kuliko kundi kubwa lenye mamluku ndani yake.

Ninachokusudia kuwaonya vijana hawa wa BAVICHA ni uwezekano wa kujipenyeza mamluki/mapandikizi miongoni mwenu wenye silaha za jadi n.k, kwa lengo la kuonyesha mnapanga kufanya hujuma/uovu tofauti na ahadu yenu ya kutofanya mambo ya aina hiyo.

Mamluki hao wanaweza kabisa kujisalimisha na wakatoa maelezo ya kipropaganda kuwa walitumwa au walielekezwa kwenda Dodoma kufanya moja mbili tatu.Wanaweza hata kuwataja wasiohusika kwa lengo la kuwachafua.

Msisahau hii ni siasa na namalizia kwa kuwakumbusha msemo maarufu unaosema: "kwenye msafara wa mamba,hata kenge wamo."
Kwani wewe huendi?
 
Wandg mimi naomba wasiende Dodoma wata aibika bure kwn polisi hawana utanbkabisa,na pia police hawajatangaza hata cku 1 kwamba wameelemewa waombe,nguvu,pia ace kubalikushindwa cyo mshindani,tulisha shindwa uchaguzi tupige kazi na kujipanga 2020, nawasilisha.

Mbona unaandika kama unakimbizwa haraka ya nini? Kuandika yenyewe hujui halafu unajifanya kutoa ushauri!
 
Wazo zuri sana, ila kwenda Dodoma tar. 23 ni kama kuingia peponi. Ni faraja, raha, na fahari kusaidiana na jeshi letu pendwa kuwazuia CCM wasifanye mkutano wao tofauti na agizo la mkuu wa nchi. Nitakuwa Dodoma siku 5 kabla kuungana na makamanda kutoka kona zote za ncì.
Hata magaidi wa ISIL wanaamini kumtoa mtu koromeo ni kwenda peponi
 
Back
Top Bottom