Recent content by Mbalamwezi1

  1. Mbalamwezi1

    Mabasi yaendayo mikoani kuzidisha abiria; Hivi mnasubiri mpaka ajali itokee watu wafariki ndio mchukue hatua?

    Kwenu wenye mamlaka, naandika ujumbe huu nikiwa ndani ya Basi la Saibaba kutoka Arusha kwenda Dar, basi hili ni la safari ndefu lakini linasimamisha abiria kama Daladala. Hili ni Moja nililoshuhudia Mimi ila mabasi mengi yale yanayopaki stendi kuu ya Arusha yanafanya hivi, cha kushangaza hili...
  2. Mbalamwezi1

    Tenki la Uwanja wa Jamhuri Dodoma linazuia watazamaji

    Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
  3. Mbalamwezi1

    Ombi langu kwa Club 7 Ngalawa (Royal) Dodoma; live ya TNC ihamishiwe Jumamosi

    Mimi ni mmoja kati ya wapenda Burudani na muumini mzuri wa Live Band. Toka nimehamia Dodoma mwaka 2017 nimekuwa nikihudhuria Burudani ya Live Band sehemu Moja tu ninayoikubali nayo ni Royal. Hapa kuna Live Band mbili kati ya TNC chini ya Taz (inapiga Ijumaa na J2) na Bendi ya Bushoke (inapiga...
  4. Mbalamwezi1

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Wewe unafikiri hizo kamati za ulinzi na usalama zinakurupuka bro. Hizo kamati pia zina waislamu walishapandikizwa huko na wakaona kuwa wanachofundishwa ni zaidi ya karate na judo
  5. Mbalamwezi1

    Kusomesha watoto shule za private ni matumizi mabaya ya fedha

    Ikiwa unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga!
  6. Mbalamwezi1

    Wale wa TRA mkeka upo hewani

    kuna watu wana added advantage, pamoja na kuwa na lower second unakuta mtu kuna sehemu aliwahi kufanya kazi, hivyo ana experience au kuna ujuzi mwingine anao zaidi ya hiyo ya GPA darasani>
  7. Mbalamwezi1

    Rais Samia, kwani wanaume tumekufanya nini?

    Huwezi kumkomboa mwanamke kwa kumshusha mwanaume
  8. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Ipi braza maana kuna disco 2,3,4, sport nk
  9. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Braza unamiliki toyota gani vile?
  10. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Nitabadilika nikishaachana na matoyota nikahamia ndinga za Ulaya
  11. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Zero na kuendelea, karibu kwny ulimwengu wa povu
  12. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Yaani kwa sasa gentlemen cars in town kwa Tanzania ni Land Rover Discovery kuanzia series 2 na kuendelea. Wanaoendesha haya magari kwanza ni watu fulani hivi wanaonekana ni wastaarabu na wasio na vurugu barabarani. Halafu always utawakuta vioo vipo juu, hii inaonesha ni watu wa kipato cha kati...
Back
Top Bottom