Rais Samia, kwani wanaume tumekufanya nini?

Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Rais Samia, yaani muda mwingi anatumia kumpamba mwanamke na kutunyooshea vidole wanaume. Hii hali anayokuja nayo Rais siyo salama maana huko mbele itapelekea watanzania wasiwe na imani naye tena. Huwenda si yeye tu hata wanawake kwa ujumla atakuwa amewatia doa.

Mnataka wanawake mpendwe vipi? Tayari Mama Samia ni rais anataka nini tena? Yaani imefika hatua anateua viongozi wengi wanawake kutukomoa wanaume, badala ya kuteua viongozi kulingana na weledi, sifa na utashi. Siyo kuangalia jinsia kama unavyofanya.

Ninavyo muona huyu Rais Samia yaani anatamani hata leo Spika awe mwanamke, Jaji Mkuu awe mwanamke, Mkuu wa Majeshi awe mwanamke. Uteuzi wa hovyo wa Waziri wa Ulinzi pamoja na Mabalozi mbalimbali umeyathibitisha haya.

Achilia mbali majukumu aliyonayo mwanaume ndani ya familia, hebu tuangalie yafuatayo halafu tuone wanawake tunawanyanyasa kama Afghanistan [emoji1023] au tumewapa vipaumbele vya kutosha?

1. Nafasi za viti maalumu haziwahusu kabisa wanaume ni wanawake tuu, tena ni nyingi kiasi cha kukaribiana na viti vya majimbo. Yote haya Rais Samia hataki kuridhika, hivi wanawake mpendwe vipi?

2. Wizara nyeti nyingi zimekaliwa na wanawake. Mbali na kuwa Taifa la Marekani ni kongwe kidemokrasia lakini sijawahi kusikia mwanamke akaiongoza pentagon. Ila hapa tuna Waziri wa Ulinzi mwanamke na hakuna aliyehamaki.

3. Wanawake hupewa vipaumbele kuliko wanaume kwenye selection za shule, vyuo pamoja na ajira. Bila pingamizi inawezekana kabisa mwanaume akawa na daraja la kwanza lakini akaachwa akachukuliwa mwanamke mwenye daraja la Tatu. Hapa sasa tunafuata gender equity au?

4. Rais Samia nakuomba zingatia katiba na ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambacho japo ni kichefuchefu mbele ya watanzania. Maana hakuna mtanzania anataka katiba hii wala CCM lakini, tunaomba ufuate ajenda zenye vipaumbele kwa taifa kuliko kujinadi ukike wako kila siku jambo ambalo halina tija kwa wananchi.

NB: Haya ni maoni tu maana nina haki kikatiba ya kumkosoa kiongozi yeyote na siku zote unapokosolewa ndiyo unakuwa imara.
Asante
Hapa Magufuli alikosea njia
 
Yaani akistaafu samia kuja kukalia kiti cha urais tena mwanamke sidhani kama itakuja tokea tena hapa tanzania ..nafasi hizi rais
Makamu wa rais
Waziri mkuu
Mkuu wa majeshi
Ccm wamejifunza
Vyama vya upizani wamejifunza
 
Inaonekana Kuna kitu moyoni mwake, qualifications make the difference,yeye achape kazi tu,ufanisi wake utafanya tuendelee kuwaamini wanawake.Akiwa anaangalia mambo ya jinsia sana itamwangusha
 
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Rais Samia, yaani muda mwingi anatumia kumpamba mwanamke na kutunyooshea vidole wanaume. Hii hali anayokuja nayo Rais siyo salama maana huko mbele itapelekea watanzania wasiwe na imani naye tena. Huwenda si yeye tu hata wanawake kwa ujumla atakuwa amewatia doa.

Mnataka wanawake mpendwe vipi? Tayari Mama Samia ni rais anataka nini tena? Yaani imefika hatua anateua viongozi wengi wanawake kutukomoa wanaume, badala ya kuteua viongozi kulingana na weledi, sifa na utashi. Siyo kuangalia jinsia kama unavyofanya.

Ninavyo muona huyu Rais Samia yaani anatamani hata leo Spika awe mwanamke, Jaji Mkuu awe mwanamke, Mkuu wa Majeshi awe mwanamke. Uteuzi wa hovyo wa Waziri wa Ulinzi pamoja na Mabalozi mbalimbali umeyathibitisha haya.

Achilia mbali majukumu aliyonayo mwanaume ndani ya familia, hebu tuangalie yafuatayo halafu tuone wanawake tunawanyanyasa kama Afghanistan [emoji1023] au tumewapa vipaumbele vya kutosha?

1. Nafasi za viti maalumu haziwahusu kabisa wanaume ni wanawake tuu, tena ni nyingi kiasi cha kukaribiana na viti vya majimbo. Yote haya Rais Samia hataki kuridhika, hivi wanawake mpendwe vipi?

2. Wizara nyeti nyingi zimekaliwa na wanawake. Mbali na kuwa Taifa la Marekani ni kongwe kidemokrasia lakini sijawahi kusikia mwanamke akaiongoza pentagon. Ila hapa tuna Waziri wa Ulinzi mwanamke na hakuna aliyehamaki.

3. Wanawake hupewa vipaumbele kuliko wanaume kwenye selection za shule, vyuo pamoja na ajira. Bila pingamizi inawezekana kabisa mwanaume akawa na daraja la kwanza lakini akaachwa akachukuliwa mwanamke mwenye daraja la Tatu. Hapa sasa tunafuata gender equity au?

4. Rais Samia nakuomba zingatia katiba na ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambacho japo ni kichefuchefu mbele ya watanzania. Maana hakuna mtanzania anataka katiba hii wala CCM lakini, tunaomba ufuate ajenda zenye vipaumbele kwa taifa kuliko kujinadi ukike wako kila siku jambo ambalo halina tija kwa wananchi.

NB: Haya ni maoni tu maana nina haki kikatiba ya kumkosoa kiongozi yeyote na siku zote unapokosolewa ndiyo unakuwa imara.
Asante
Mh.Rais SSH anatukumbusha wanaume kuwa tusiisahau ile "coat of arms"yenye maneno "UHURU NA UMOJA"...

Tuna macho, hatuoni?!!
Tuna akili ,tuna uraibu wa kukariri?!!
Tuna fikra pana ,tumejilemaza kutokuzitumia?!!!

#SiempreJMT
#SiempreChiefHangaya
#NchiKwanza
#UhuruNaUmoja
1200px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
 
Kuna mtu alisema ukioa mwanamke aliyekuzidi kipato ni shida, sasa tunayaona huyu Mama anaweka mashoga zake kwenye madaraka kukomoa wanaume na atalipata, mwanaume si wa kushindana nae ndiyo maana hata Mungu anaitwa Baba.
 
Mama yuko sawa.

wacha aweke uwiano, nchii itajengwa na watanzania wote kwa pamoja.

nimefurahishwa sana na teuzi zake.

Katika Marais wote waliowahi kupita Rais Samia ndiye Rais Pekee anaye zingatia sana uwiano ktk Idara zote za Serikali.

maaana kwekweli kulikuwa na tatizo kubwa sana la kukosekana kwa uwiano hata hivyo bado tatizo lipo kwani haliwezi kumalizwa mara moja kwani lilijengwa kwa miongo mingi sana!!.

Viongozi wengine ktk Serikali wenye mamlaka za uteuzi ni vyema wakazingatia au kufuata nyayo za Mhe. Rais ktk teuzi mbalimbali wazo zifanya wasiegemee wala kujaza watu wa aina fulani wakati wengine wakiachwa nje hili halifai, tuzingatie uwiano kwa maana zote ili kujenga uzalendo kwa Taifa, sio kujaza watu wa aina moja tu ktk idara kama vile wengine hawafai au hawana uwezo!! hilo halina afya kwa mustakbali wa nchi.

azidi kujitahidi kurekebisha makosa haya ambayo kimsingi yaliathiri sana umoja na mshikamano wa nchi yetu.

uwiano kwa maaana zote ni muhimu sana ktk kuimarisha uzalendo wa nchi.

watanzania wote wenye sifa wanahaki sawa ya kuitumikia nchi yao.

Viva Rais Samia ViVA.
Unawaza uteuzi tu.kwani wanawake wako kwenye uteuzi tu.hivi vyeo vyakisiasa nakiserekali ni sehemu ndogo sana ya kuijenga nchi.nchi inajengwa na wananchi wote kuanzia wale wanawake wanaotembea kilometa nyingi na ndoo ya maji kichwani,kuni,karai la matunda na shughuli nyingi wanazofanya wanawake kwasababu ya umaskini.Sasa kama anawaza kuomkomboa mwanamke anatakiwa awaze kuleta maendeleo ili kila mwanamke anufaike nasio kwenye nafasi zasiasa na vyeo serikalini.
 
Mama anatumia hyo dhana kuwaandaa wanawake wapiga kura kipindi cha uchaguzi.
Hii mbinu haitamsaidia ata kidogo.kama ameamua kujificha nyuma ya mgongo wawanawake ni swala la muda tu atakuja kugundua anajilisha upepo.
 
Uraisi wenyewe kaupata kupitia mwanaume,asingekuwa mwenda zake asingekuwa hapo
 
Alafu ijumaa anakwenda kuswali huyu.

Wakati msaafu unaeleza kwa kina nafasi yake kama mwanamke na nafasi ya mwanamme.

Bimkubwa analalamika sana na anasahau aliyetoa uwezo, mamlaka na jinsia ipi iongoze ni mwenyezi Mungu, hizi anazoleta ni hisia za kushindwa pia ni ishara ile spirit of self-exaltation inamwangukia na kumuonyesha yeye ni nani from early creation!.
Umenikumbusha jambo. Kama tuko !sawa kwa kila kitu ni kwa nini hajaikacha Dini yake ambayo inamkataza yeye kusali Chumba kimoja na Wanaume? Au anaongea mambo asiyoyaamini?
 
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Rais Samia, yaani muda mwingi anatumia kumpamba mwanamke na kutunyooshea vidole wanaume. Hii hali anayokuja nayo Rais siyo salama maana huko mbele itapelekea watanzania wasiwe na imani naye tena. Huwenda si yeye tu hata wanawake kwa ujumla atakuwa amewatia doa.

Mnataka wanawake mpendwe vipi? Tayari Mama Samia ni rais anataka nini tena? Yaani imefika hatua anateua viongozi wengi wanawake kutukomoa wanaume, badala ya kuteua viongozi kulingana na weledi, sifa na utashi. Siyo kuangalia jinsia kama unavyofanya.

Ninavyo muona huyu Rais Samia yaani anatamani hata leo Spika awe mwanamke, Jaji Mkuu awe mwanamke, Mkuu wa Majeshi awe mwanamke. Uteuzi wa hovyo wa Waziri wa Ulinzi pamoja na Mabalozi mbalimbali umeyathibitisha haya.

Achilia mbali majukumu aliyonayo mwanaume ndani ya familia, hebu tuangalie yafuatayo halafu tuone wanawake tunawanyanyasa kama Afghanistan [emoji1023] au tumewapa vipaumbele vya kutosha?

1. Nafasi za viti maalumu haziwahusu kabisa wanaume ni wanawake tuu, tena ni nyingi kiasi cha kukaribiana na viti vya majimbo. Yote haya Rais Samia hataki kuridhika, hivi wanawake mpendwe vipi?

2. Wizara nyeti nyingi zimekaliwa na wanawake. Mbali na kuwa Taifa la Marekani ni kongwe kidemokrasia lakini sijawahi kusikia mwanamke akaiongoza pentagon. Ila hapa tuna Waziri wa Ulinzi mwanamke na hakuna aliyehamaki.

3. Wanawake hupewa vipaumbele kuliko wanaume kwenye selection za shule, vyuo pamoja na ajira. Bila pingamizi inawezekana kabisa mwanaume akawa na daraja la kwanza lakini akaachwa akachukuliwa mwanamke mwenye daraja la Tatu. Hapa sasa tunafuata gender equity au?

4. Rais Samia nakuomba zingatia katiba na ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambacho japo ni kichefuchefu mbele ya watanzania. Maana hakuna mtanzania anataka katiba hii wala CCM lakini, tunaomba ufuate ajenda zenye vipaumbele kwa taifa kuliko kujinadi ukike wako kila siku jambo ambalo halina tija kwa wananchi.

NB: Haya ni maoni tu maana nina haki kikatiba ya kumkosoa kiongozi yeyote na siku zote unapokosolewa ndiyo unakuwa imara.
Asante
Kuna haja kuangalia historia ya nyuma labda alikumbana na manyanyaso ya mfumo dume makazini
 
Back
Top Bottom