Recent content by mbakaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kuna maeneo ambayo ni mteremko kwahiyo acceleration inaongezeka kama kitonga na kwingine atakua alikuwa ana lalanayo. May be short cut anazifaham basi anachochora kufupisha safari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Sema nini jamaa ni piloo kinoma. Ila nini jamaa ni mjinga kinoma maana alikumbatia kifo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

    Shua mkuu baadhi ya wanyama sehemu walizo chinjwa ama kufia wanyama wenzao wanatambua mfano ng'ombe pia punda karibu na machinjio usiku hakubali kupita. Pia wanyama wakikaa machinjioni masaa kadhaa huingiwa na stress na kupungua ubora wa nyama.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kilimo peke yake ina ajira za uhakika na za kutosha kuajiri vijana wote wasio na ajira Tanzania

    Afisa ugani wamchongo, mvua ya mchongo, soko la mchongo, mbegu, viatilifu,mbolea vyote nia gharama kwelikweli na mtaji wote tuliwekeza shuleni familia ikabaki choka mbayaa! Any way we unalima? Nipe profit flow ya projeject ya kilimo unacho fanya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Nimekupenda bule.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Marhabaa mletamada, mbona kujiunga Jf ni simple kuliko hata kujiunga facebook.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Once Again Dereva Mkongwe ameprove wakati wa mungu ni sahihi

    Hama kwakoo!! Konda ana sema "nakuamini baba we lala nayo" aisee udreva ni taranta.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

    Mods leejay49 kafanya nini had ale burn?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hasara za walimu na waganga wa kujitolea ni kubwa kuliko faida

    Hata hizi za kujitolea Bado ni kizungu mkuti. Nipo nahangaikia kazi ya kujitolea sekta flani lengo kusaidia jamii .Lakini Bado nakatwa chenga kibao wakati nijambo mhimu hata kuipunguzia serikali mzigo.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FDA imependekeza bangi kuorodheshwa upya kama dawa yenye kiwango cha chini cha madhara

    ARUDIE KUFANYA RESEARCH.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Write your reply...Yaani nihatari tupu barabarani , kunasiku nipo na chopa yangu rodini mida ya saa4 usiku nikawa nakutana na warembo kibao. Aiii! mara nakatiza kipori flani hivi mara nakutana na kademu nikajisemea chakujitesea nini nikatupia vocal kiaina dakika mbili mtoto katiki piga gori...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi zaidi ya mmoja lakini bado nampenda huyu mmoja

    sasa tufanye mipango.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu huwa mnarudi nyumbani saa ngapi?

    Mapematu maranyingi saa moja nikicherewa saana saa mbili napo nakuwa karibu na kijiwe cha maskani.
Back
Top Bottom