Recent content by mbabeh

  1. mbabeh

    JamiiForums Tanzania AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    Pole rafiki kama nawewe ni mmojawapo naona imekuuma ila umeamua kujiridhisha kwa kusema hao wameonewa...kuita watu 10000 hujaona kama uonevu kwa nafasi 70?...polee mzee
  2. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume!

    Agreed!!!
  3. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Luis van gaal a.k.a master plan kama tupendavyo wengi kumwita hivyo kutokana na kufanikiwa kwa plan zake katika mechi ya mexico kufanya mabadiliko na kupata ushindi wa goli mbili baada ya kusawazisha,,mbali na hapo pia alifanya supersub baada ya kumtoa kumuingiza golikipa ambaye alidaka penalt...
  4. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya tafuteni na lingine...

    Hivi ugonjwa wa dengue umeishia wapi???ni kweli uliletwa na wizara kwa manufaa ya watu wachache?au ni kweli panadol zilikua nyingi wakataka mzigo uishe fasta...kweli nimeamini bongo watu wasanii...!!!
  5. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Penye wengi pana wengi...

    Humu kuna watu tofauti unachokiwaza wewe kwawakati huu haiwezi kua rahisi na mwenzako akawaza kama wewe na ndipo utofauti kama binaadamu unapotokea,,,wazungu wanamsemo kwamba "everyone need someone to share with" kwamaana huyo ambaye amepost thread kuhusiana na hayo mambo kuna kitu kinamzonga...
  6. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Suarez wa Uruguay na Zuniga wa Colombia nani kafanya rafu mbaya sana kombe la dunia Brazil?

    Nadhani we mwenyewe thread yako umeandika kishabiki pia na nkiangalia profile picture yako ndo nkapata jibu kwann umeandika hivi??...kwanza upo interested na Suarez na unajaribu kumtetea ingawa tambua kosa alilofanya sio la mchezo wa mpira kabisaaa na isitoshe mara ya tatu linajirudia nadhani...
  7. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Kumekucha tena kazi kweli ipo bongo yetu

    Anapolaumiwa raisi haina maana kwamba eti yeye ndo anauwezo wa kufanya kila kitu lakini ule uwezo wake wakimamlaka ndio unaweza kumuhukumu..mfano rahisi ni kwamba kama we ni baba/mama huezi kufanya kazi zoote za nyumbani peke yako na unawatoto basi utafanya mgawanyo wa kazi mwingine...
  8. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Mh.shy-rose na boda boda

    Mbona hiyo picha posta mkuu?...hilo bango lipo opposite na holiday inn ukiwa unaingia posta mpya??au hii ndo kwamara ya kwanza
  9. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mwalimu na mwanafunzi

    Kabla hajaja darasani kuna konda nae anajilia vyake nashangaa we mwalimu unajisifia akishafika darasani...we kweli kwenda ualimu ulifeli na hizo namba zako
  10. mbabeh

    JamiiForums Tanzania Hello..

    Naomba kukaribia ulimwengu huu...
Back
Top Bottom