Recent content by mazrui wa bongo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya mchomoa betri hapa

    Anasubiri ushahidi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimehisi sababu iliyomfanya baba yangu kumuacha mama yangu..

    Well said mkuu, mambo mengine watoto hawatakiwi kujiingiza.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

    Swadakta mkuu, maneno ya hekima na busara haya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marufuku mume wangu kugusa matiti yangu

    Kama mumeo ni mtu Wa kupenda kushika na kunyonya matiti basi Jua tu anapata nje kwa wanawake wengine.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini, batizeni watoto wenu majina yenu ya kiafrika, achaneni na majina ya wazungu na waarabu

    Hayo majina yakiekwa yatatusaidia wengi na kujivunia uafrika wetu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake....let's be kind to men!!

    Usiseme hivyo pengine walikua Wanapendana sana lakini saa nyengine shetani huingia kwenye nyumba na kila mtu au mmojawapo akawa na jeuri na kibri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tulishakutana Na mabikra tukutane hapa

    Kosa lako ilikua unamhurumia sana ndio maana akenda kwa wengine.
  8. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mchungaji na wanawake 7 watiwa mbaroni baada ya kukutwa wakisali wakiwa uchi

    Ni suala la kutafakari sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

    Hawa ni wale waloleta ukiristo na kutuletea mungu mwenye ngozi nyeupe na macho ya buluu. Bado tunasubiri picha za waarabu lakini hatutaki za kuchora
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

    Ziko wapi hizo picha za waarabu kutesa babu zetu, naona hawa ni wazungu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tangu nimeanza kupiga mazoezi badala ya kupungua naongezeka uzito

    Je nguo zako zinabana au zinapwaya.?Yaweza kua umepungua fat lakini umegain muscles hasa kwa vile unapiga sana push up ambacho ni kitu kizuri. Na jee hilo dona unalokula ni kiasi ganI isije kua una consume more calories than what you are burning. Kwa hiyo lazima ubalance your calories intake...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada wa kazi/wasaidizi wa nyumbani wanakomesha hawa watoto

    Bora uwafahamishe ao wadada wa kazi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aina za vitambi na sababu zake

    Mkuu huu utafiti uloufanya si wa kitoto
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jina zuri la kiume la kiislam ili nimpe baby boy wangu

    Bilaal ammar omar khalid Ahmad Saleh Sleiman Abbas Ali Hassan Hussein
Back
Top Bottom