Recent content by mazojms

  1. mazojms

    Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    6÷2(2+1) MAGAZIJUTO ANZA NA KUFUNGUA MABANO KISHA GAWANYA 6÷((2*2)+(1*2)) 6÷(4+2) 6÷6 1
  2. mazojms

    Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Kuna wale wazee "Much Know" yaani wanaamini wanajua kila kitu kwenye huu ulimwengu , alafu hawapendi kuitwa wazee. Ukiwabishia kidogo tu utasikia " Huko shule mlienda kusomea ujinga" hahahaha
  3. mazojms

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    They say "A mile a day keep the doctor away" watu wa gym tujuane.
  4. mazojms

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    The good doctor will see you now!
  5. mazojms

    Utofauti kati ya Elimu na Akili

    - Akili ni uwezo wa kuchakata maarifa/ elimu. - Elimu ni mapokeo au content zinazounda akili. - Huwezi kutenganisha akili na elimu. Mtoto anapozaliwa anakua hana akili wala elimu, anaanza kupata akili pale anapoanza kuingiza maarifa/Elimu (both formal and informal)
  6. mazojms

    Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Madhara ya kukosa malezi yenye upendo utotoni, kiufupi hujui mapenzi/ upendo ni nini, unaogopa na kuona kero kwa sababu ubongo wako haujawa trained kuchakata taarifa za upendo.. how can one be afraid to be loved? Someone to care Someone to share Lonely hours And moments of despair To be loved...
  7. mazojms

    Jinsi ninavyopunguza uzito na mafuta ya mnyonyo

    Unene wa asili? There is no such thing. Unene tafsiri yake ni chakula cha ziada kilicho kosa kazi mwilini, Hivyo! as long as unaendelea kula bila kuchukua tahadhari huwezi tatua tatizo.
  8. mazojms

    Jinsi ninavyopunguza uzito na mafuta ya mnyonyo

    Tatizo si unene bali ni ulafi; usipo acha ulafi utaharisha sana na kamwe huwezi kupungua uzito. Yanini kurisk afya yako kwa kuharisha, wakati unaweza kupungua uzito kwa kupunguza na kucontrol chakula unachoweka mwilini?
  9. mazojms

    Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

    Kutumia akili nyingi kwenye nchi zenye systems mbovu ni sawa na kufunga jet engine kwenye bajaji, Mwisho wake always ni kuwa stressed & confussed.
  10. mazojms

    Imebaki miaka 18 mafuta kuisha United Arab Emirates

    Go easy on her! hahahaha unamtandika nyundo za facts, sidhani kama atarudi humu.
  11. mazojms

    Nini madhara ya kuwa mlevi wa asali?

    Usisahau kwamba asali ni chakula jamii ya Carbohydrate (Fructose & Glucose), madhara ya matumizi ya asali katika mwili yanafanana na madhara ya matumizi ya vyakula vingine vyenye sukari.
  12. mazojms

    Ufanye nini kuondoa msongo wa mawazo kwa matendo uliyotendewa na mzazi wako?

    _ Unataka ujitawaze ukiwa umebana matako. Bado unahitaji kwenda lupango zaidi ili akili ikukae panapostahili. _ Hiyo vita sio yako na mzazi bali ni yako na nafsi yako. Make peace with your inner self mwambie mtukutu ndani yako kwamba you are in control, baada ya hapo muombe mzazi wako msamaha...
Back
Top Bottom