Recent content by MAZIZE

  1. M

    Kweli bunge maalumu limepoteza weledi

    Mwishowe tukikaribia idi tutaomba wizara ya utamaduni itupe hela za kuandaa chakula cha sikukuu.
  2. M

    Kukosa watoto ni tatizo katika ndoa nyingi Tanzania

    Dada yangu mmoja kaachwa na mumewe baada yakukaa muda mrefu bila mtoto, akazaa na mwanaume mwingine, yule aliyemuacha mpaka leo hana mtoto. Tuvumiliane jamani, watoto ni zawsdi kutoka kwa mungu baba. Tusubirie.
  3. M

    Kutopata hedhi kwa muda mrefu baada ya kujifungua

    Ukiwa unanyonyesha kuna hormone inatolewa kutoka kwenye pituitary gland, hii hormone( prolactine hormone) inasaidia kutengeneza maziwa lakini pia inazuia kutolewa kwa hormones nyingine zinazosaidia kutengenezwa kwa mayai. Kadri unavyonyonyesha mara nyingi na kumuweka mtoto kwenye ziwa kwa muda...
  4. M

    Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    Kweli kabisa, zina tija kwa wananchi wa kawaida ambao hawajasoma.
  5. M

    Ni ukosefu wa akili kucheka misiba ya watu, kwanini diaspora wakifa wengine huchekelea?

    Tuwe na busara jamani, kama mtu akiongea fact ukijitupia hapo ukaongea upumbavu, wengine wenye akili wataishia kukudharau, jufunzeni kujenga hoja, msiropoke hovyo.
  6. M

    Kwa usaliti huu CHADEMA mtabakia wasindikizaji wa CCM milele na kamwe nchi hii hamtokuja itawala

    jamani mleta hoja katumwa. yeye pia anajua anaongea pumba lakini hana jinsi umaskini unamsumbua anataka jioni apate kula na kesho apate T- shirt na kofia ya kijani apate kutoka. samahani, natoa maneno makali kwasababu nimechoka kuona watu ambao ujinga haujawatoka kama wewe. unajua matumizi ya...
  7. M

    Mtwara leo watakataa gesi isitoke kesho watakataa Watanzania wanufaike na gesi, hatari iko mbele

    Mleta mada anatupumzikia. Kama hana hoja, asoma tu za wenzake. Asipo-post kitu jamiiforum, hatafutwa. Fuatilieni kwa makini jinsi anavyoendelea kujibu hoja za watu, mtaona hajui kabisa anachosema. 'hata wamachinga watajitenga' hio ni hoja ya mtu anayefikiria sawasawa kweli??????? Kwa hali kama...
  8. M

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Duh! inauma sana,kama uko makini, watu about 85% ya wachangiaji hakuna anayekuunga mkono kwa jambo unalotaka kulifanya, mimi pia sikuungi mkono hata kidogo, ulimpenda lecturer, tena baada ya kukaa nae muda mrefu bila kuambiana jambo hilo. Huyo ndie mume wako, huyo mwingine uliyemuona siku za...
  9. M

    Kosa langu li-wapi?

    Hujakosea kitu chochote dada, nakupongeza kwa kutofika msibani maana huenda huyo mama angekuchenchia kweli, wewe mshukuru mungu na huyo mzee kwa kukusaidia, na ujitahidi kusonga mbele kimaendeleo kwani naamini huyo mzee ndio kitu ambacho nayeye alipenda uwe nacho.
  10. M

    Kosa langu li-wapi?

    Hujakosea kitu chochote dada, nakupengeza kwa kutofika msibani maana huenda hungeharibika kitu, wewe mshukuru mungu na huyo mzee kwa kukusaidia, na ujitahidi kusonga mbele kimaendeleo kwani naamini huyo mzee ndio kitu ambacho nayeye alipenda uwe nacho.
  11. M

    Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

    kwakweli tusimlaumu mwenzetu, yawezekana katumwa na...... au ni kwasababu yuko nje ya box(tafsiri yangu yuko nje ya tanzania) angekua ndani asingesema hivyo.
  12. M

    Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    jamani tukiambiwa mambo yaliyoshiba kama haya tusikimbilie kusema ni wivu. mnataka data za aina gani ili muamini?, au nyie mnaomtetea ndio vibaraka wake mnaogopa kukosa vibarua. tumewachoka mafisadi, tafadhali tuungane kuwapinga na sio kuwatetea.kwahio nyie mmefurahi kuona watu wanapigwa risasi???
  13. M

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Ziwa ni mali yetu. Banda aheshimu mipaka ya mwanzo ya wakoloni na sio mipaka iliyobadilishwa baadae na waingereza
Back
Top Bottom