stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Habarini,
Wadau hebu tujadili hili suala mara nyingi mwanamke baada ya kujifungua wengine huchelewa kuanza kupata ada ya mwezi kwa mwingine huchukua miezi kadhaa hata miaka miwili bila kupata kabisa na mwingine baada ya siku arobaini tu huingia mwezini
Napenda kufahamu hili, je kuna madhara yeyote ya kiafya yanayoweza kuletwa na kutopata hedhi kwa mda mrefu?
Pia, je! Kwa kipindi chote hicho ambacho haingii mwezini je kuna uwezekano wa yeye kupata ujauzito tena akikutana na mme bila kinga yoyote?
Asanteni, nawasilisha