Ilitakiwa uandike barua ya kusimamisha matumizi ya TIN : yako na utoe sababu ya kusimamisha
Ilitakiwa uandike barua ya kusimamisha matumizi ya TIN: yako kwa wakati huo, kumbuka hiyo ni leseni kama leseni zingine unapokuwa na mabadiliko lazima utoe taarifa sehemu husika, wao wanakusanya kodi ni...
Hili linanipa shida sana kwenye Masikio yangu ya asili, nimekuwa nikizisikia sauti za wazazi, walezi, na walimwengu wakimkanya binadamu huyu mwerevu asithubutu kufanyanae urafiki na huyu binadam mjinga na wakiamini huyu binadam mwerevu ni rahisi mno kuvaa viatu vya binadam mjinga,
Tabu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.